Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Kwangu mimi huyu dereva wa Lisu ndio 'the hero of the day' kwenye tukio la shambulio la Lisu.

How did they ignore such an important factor in the equation?
Kawaida unapotaka kufanya tukio kama la 'watu wasiojulikana' kwa Lisu unaangalia factors zote kwenye equation kabla. Unakuwa na plan A, B na C kwa kila factor.

Kuna factors ambazo kwenye mission kama ile zingepelekea ku 'abort mission'.
1. Gari ilikuwa na tinted na juu ilikuwa na top cover. Hakuna namna yeyote ambayo ungeweza kujua location ya Lisu kwa uhakika.
This was enough to abort

2.Lisu alikaa ndani ya gari kwa dk.20 kwa maelezo ya 'dereva'. Hili tendo halikutegemewa, nobody knew the movement inside the car. Proper decision here was 'abort'.

3.Dereva wa lisu; Mimi nachukulia hii kama basics kwenye mission yeyote. Ukitaka kumpiga raisi kwa mfano, ushirikiano wa dereva ni wa msingi sana. Ni moja kati ya watu watakaokusaidia kufanya matukio ya 'the kill zone' yawe kama ulivyopangilia.

Anyway, unapangiliaje tukio kama la Lisu bila hata kujua jina la dereva, background yake, CV yake kwa ujumla. How do you take for granted a massive factor as this.
Kumjua dereva ni moja kati ya factors ambazo zingewasaidia executioners kujua what to expect on 'the kill zone'.

Sasa kwa maelezo ya 'dereva', executioners wameonekana kama wapumbavu wa degree ya kwanza.
Nimemuadmire sana huyu mtu, na nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu sio 'usual street driver'.
Yuko vizuri sana kwenye security details kitu ambacho sio Kawaida kwa dereva wa Kawaida.
☞Aliwajua executioners Dar es salaam na akaweza kuwakimbia.
☞Aliwakariri sura na namba za gari na kwa maelezo yake kwenye mtandao 'anawajua'.
☞Alimshauri Lisu asitoke kwenye gari, alimhamishia kwenye siti ya dereva na akachumpa kwenda nje tena chini ya gari jingine. He was ahead in security details na hii movement ya ndani ya sekunde kadhaa sio ya kawaida. Jameee hii ni training, tena repeated training on how to act on a war zone.
Mtu wa Kawaida bila mafunzo angeona mambo haya bila mafunzo, nafsi yake ingemuelekeza kukimbia ili kulinda maisha yake. But training made him act differently.

★Huyu dereva angetaka 'kama alikuwa properly armed' angewamaliza executioners wote! Yes, why not?
Alikuwa akiangalia wakati 'the SMG' guy was emptying his casing, and also the pistol guy.
He had all the calmness and poise to pick his targets and fire.

Mtu aliyesupervise hili tukio lazima ana ziro darasani.
Normally you pick one killing zone, make best arrangements and hope for the best. Mambo yakishindikana abort and plan for next time.
Sasa kama walimfuatilia toka Dar es salaam , ina maana eneo la kwanza la tukio halikupangwa kuwa Dodoma. Na kama kazi imeshindikana on your 'pre planned kill zone' why not abort?
Ndio maana nasema huyo supervisor lazima awe na zero ya form 4.

Pole Lisu.
Mungu akujalie afya njema.
He was smart than you cant compare. Baada ya kushuka na kujificha, alijua kuwa reaction yake yoyote ingemaliza mchezo vibaya sana. Na probably aliwaona kuwa wako well equipped, katika hali kamahiyo ni bora ukawa cool ili upepo mbaya upite. Na hiyo ndio salama yao.
 
Dereva wa Lissu ni Shahidi Muhimu sana Tena kadri anavyojieleza ndio anavyozidi kuwa Shahid Muhimu

Kukaa na Lissu 20 minutes bila ya kushuka Kwmy gari mkihofia Usalama wenu Tena mko kimyaa hawakupiga simu wala ku text hata kwa Mkewe kuwa kuna Watu tunawasiwasi nao sio jambo la Mchezo
Katika hali kama ile, huna muda wa kufikiria unayoyasema. UNafikiria ni jinsi gani ya kujiponya. Meseji na simu hupoteza muda wa kufikiria njia sahii ya kujiponya. Ni kama vile unakesi kuuuuuuuuuuuuuuuubwa mahakamani, wewe unakimbilia kwa mganga wa kienyeji badala ya kufikiria ni jinsi gani utakavyoweza kupambana na mashanidi wa upande wapili.
 
hapana mkuu tuende mbele turud nyuma mie sina imani kbs na dereva wa tundu toka siku ya kwanza !pesa ilimuua YESU kumbuka mkuu !ukimsoma utamwelewa amewadharau tu ! ni mtu makini mtoa mada
Jicho linaloona sana kwenye uchunguzi ni JICHO la tatu. Bila hilo huwezi ona chochote kuhusiana na Crimes. Na ni wachache sana duniani hubarikiwa na ,,Jicho,, hilo.
 
Nadhani Pia Lisu na dereva wake baada ya kugundua kuna magari yamefunga barabara pande zote basi hawakuwa na ujanja zaidi ya kusubiri kwenye gari tu.manake kama Lisu angeshuka ndio ndio ingekuwa mauti yake.Walisha mbana vizuri.kwamba hata kama dereva angewasha gari na kujaribu,wale walioziba barabara pande zote wangewamaliza tu tena wangekuwa na clear view ya kioo cha mbele
 
Ila tukio la Lisu litawasaidia wabunge wengine kutokufuatiliwa "atleast kwa muda fulani" manake wasiojulikana hawataweza kuendeleza missions zao.Ni kama Lisu amejitoa Mhanga ili kumaliza hili tatizo.
 
Kwangu mimi huyu dereva wa Lisu ndio 'the hero of the day' kwenye tukio la shambulio la Lisu.

How did they ignore such an important factor in the equation?
Kawaida unapotaka kufanya tukio kama la 'watu wasiojulikana' kwa Lisu unaangalia factors zote kwenye equation kabla. Unakuwa na plan A, B na C kwa kila factor.

Kuna factors ambazo kwenye mission kama ile zingepelekea ku 'abort mission'.
1. Gari ilikuwa na tinted na juu ilikuwa na top cover. Hakuna namna yeyote ambayo ungeweza kujua location ya Lisu kwa uhakika.
This was enough to abort

2.Lisu alikaa ndani ya gari kwa dk.20 kwa maelezo ya 'dereva'. Hili tendo halikutegemewa, nobody knew the movement inside the car. Proper decision here was 'abort'.

3.Dereva wa lisu; Mimi nachukulia hii kama basics kwenye mission yeyote. Ukitaka kumpiga raisi kwa mfano, ushirikiano wa dereva ni wa msingi sana. Ni moja kati ya watu watakaokusaidia kufanya matukio ya 'the kill zone' yawe kama ulivyopangilia.

Anyway, unapangiliaje tukio kama la Lisu bila hata kujua jina la dereva, background yake, CV yake kwa ujumla. How do you take for granted a massive factor as this.
Kumjua dereva ni moja kati ya factors ambazo zingewasaidia executioners kujua what to expect on 'the kill zone'.

Sasa kwa maelezo ya 'dereva', executioners wameonekana kama wapumbavu wa degree ya kwanza.
Nimemuadmire sana huyu mtu, na nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu sio 'usual street driver'.
Yuko vizuri sana kwenye security details kitu ambacho sio Kawaida kwa dereva wa Kawaida.
☞Aliwajua executioners Dar es salaam na akaweza kuwakimbia.
☞Aliwakariri sura na namba za gari na kwa maelezo yake kwenye mtandao 'anawajua'.
☞Alimshauri Lisu asitoke kwenye gari, alimhamishia kwenye siti ya dereva na akachumpa kwenda nje tena chini ya gari jingine. He was ahead in security details na hii movement ya ndani ya sekunde kadhaa sio ya kawaida. Jameee hii ni training, tena repeated training on how to act on a war zone.
Mtu wa Kawaida bila mafunzo angeona mambo haya bila mafunzo, nafsi yake ingemuelekeza kukimbia ili kulinda maisha yake. But training made him act differently.

★Huyu dereva angetaka 'kama alikuwa properly armed' angewamaliza executioners wote! Yes, why not?
Alikuwa akiangalia wakati 'the SMG' guy was emptying his casing, and also the pistol guy.
He had all the calmness and poise to pick his targets and fire.

Mtu aliyesupervise hili tukio lazima ana ziro darasani.
Normally you pick one killing zone, make best arrangements and hope for the best. Mambo yakishindikana abort and plan for next time.
Sasa kama walimfuatilia toka Dar es salaam , ina maana eneo la kwanza la tukio halikupangwa kuwa Dodoma. Na kama kazi imeshindikana on your 'pre planned kill zone' why not abort?
Ndio maana nasema huyo supervisor lazima awe na zero ya form 4.

Pole Lisu.
Mungu akujalie afya njema.
Mimi mgeni duniani.... Maana duh..... Ni hatari sana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duuuu umeeleza jambo ambalo sikufahamu mazingira yaliyotekea tukio. Kweli yuko vizuri sana.
 
Back
Top Bottom