Unacheka! Labda tu nikuambie kwanza na wewe jiandae kwa hilo, kama tiari ulishapitia hiyo hatua basi kaa ukijua na wewe ulitombewaUmenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Pole sana ChifuMh, kadri nyuzi kama hizi zinavyo pop up ndipo hisia za kuoa zinazidi kukata
Duuuh...! Hatari sana Mzee Baba[emoji15][emoji30]Nami nishaagwa saana.... Lkn haikua mwisho kweli, nikiitaka naiita nakula tu,... Ama kweli mke wa leo kumuoa ni kujisogezea na kufupisha siku za kuishi tu
kunywa Pepsi Dada uburuduke.Kwanza kuwa na no yake ni ujinga.
Hivi wanawake mnawezaje kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja?
Duh,, naona unatwanga lugha ya malkia! Make akina Mimi kamusi inanihusu hapaIf I knew then, what I know now, it`s highly unlikely that, I would have taken the plunge, it has been such a waste of my time.
Ntaoa bikra [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mpaka nione umeingia siku zako,ndiyo tunakulana mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia sio kabisa dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kama mimi najua kaenda kuaga nitaenda kuishia mlangoni kanisani then nageuza kwenda ukumbini kula misosi na ndoa inakufa.
Hahaha cheka kama mazuri,Wewe hebu njoo pm sikupati tena kwenye ile convo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ulishikwa na hasira ukaifuta ukitegemea hutani miss[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha cheka kama mazuri,Wewe hebu njoo pm sikupati tena kwenye ile convo....
Kwa kawaida baada ya sendoff lazima kuwepo na mlinzi hasa wifi yakeNa dharau juu
Dah hii chance hii wajamaniiiiiiii.Sijabahatika ila nawakumbusha waliochumbiwa
Wataacha wapi wkati wanawake wanachoangalia katika kuolewa na maisha na sio upendo wa dhati. Wacha watugaie papichi hizo sie masikini lakini wagegedaji wazuriKwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa
Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako
Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga
Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako
Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao
Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya
Jifunze kuacha
Teh teh teh nimegundua hasira hasara nimepata darasa namna kuzikabili hasira...nakuomba urudi tu nakosa vingiHa ha ha ha ulishikwa na hasira ukaifuta ukitegemea hutani miss[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikuchumbie basi?Sijabahatika ila nawakumbusha waliochumbiwa