Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Unacheka! Labda tu nikuambie kwanza na wewe jiandae kwa hilo, kama tiari ulishapitia hiyo hatua basi kaa ukijua na wewe ulitombewa
 
If I knew then, what I know now, it`s highly unlikely that, I would have taken the plunge, it has been such a waste of my time.
Duh,, naona unatwanga lugha ya malkia! Make akina Mimi kamusi inanihusu hapa
 
Kwa ndoa za siku hizi first born wengi ambao wanazaliwa ndani ya miezi 9 ya ndoa Ni wa kubambikiwa.!!
 
umesema kweli ni tabia mbovu, ipo siku yatawatokea puani unaenda kuaga kumbe yule boyfriend hayupo tayari kukuachia anakuja kulipiza. ukishakuwa na mahusiano na mwanaume yupo serious na anapanga ndoa block contacts zote za maex ikibidi hata line ubadilishe maana unaingia ukurasa mpya wa maisha.
 
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa

Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako

Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga

Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako

Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao

Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya

Jifunze kuacha
Wataacha wapi wkati wanawake wanachoangalia katika kuolewa na maisha na sio upendo wa dhati. Wacha watugaie papichi hizo sie masikini lakini wagegedaji wazuri
 
Ha ha ha ha ulishikwa na hasira ukaifuta ukitegemea hutani miss[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh nimegundua hasira hasara nimepata darasa namna kuzikabili hasira...nakuomba urudi tu nakosa vingi
 
Back
Top Bottom