Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Ila msisahau siku zote KARMA IS A BITCH.
 
Sasa ukishachumbiwa boyfriend wa nini eti
Tatizo mnaolewa kwa mengi.Na moja wapo ni kwamba sio mapenz yanyofanya muolewe.Wengi mnaolewa for pristage tu ila kuna mtu ambaye unakuta ndio unamkubal zaid thgh yy hana uwezo wa kukuweka ndan wala kukidhi mahitaji yako kiuchumi lakin ndio anayekufikisha,huwa inakua ngum sana kumuacha huyu ndio maana mnatuletea masebene yasiyoeleweka ndan ya ndoa pale tunapowaoa.
 
Poleni sana
 
Hao ma boyfriends wanaendelea nao mpaka wakiwa kwenye ndoa.
 
Subiria zamu yako ukiwa bwana harusi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aise. .inauma sana
 
Hahaha aise
Angalia,kuna mwenzio alikwenda kumuaga jamaa yake ikiwa kesho ni harusi yake,jamaa alivyomaliza kumtyomba demu alimfungia kufuli kwa nje demu siku 3 bibi harusi hajaonekana.Na jamaa akasepa zake.
 
Ahaaaa nimekuelewa boss..

Kwahiyo manywele ya kitchen party na mapin pin yake akawa anadhurula nayo. Duuuh mlikutana wote washamba washamba..

Bila Shaka wote wasukuma nyie..
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…