Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Viumbe wa kwanza kuingia motoni inasemekana ni wanawake
 
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa

Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako

Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga

Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako

Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao

Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya

Jifunze kuacha
ndio maana siku hizi ndoa ni kazi unakuta mtu unamuoa ila hisia ziko kwingine unakuta unajitahid kupiga mashine mwanamke hafurahii hata kama uko rijali kiasi gani kama hisia ni kwa mtu mwingine unaonekana kama fala tuuu unamuumiza kumchafua na kama alienda kumuaga trust me kuna asilmia 99 ya kuja tena kufanya mambo haya...watu tuwe macho wengi wa wanawake wanaingia tuu katika ndoa kama fashion
 
Hahahahahaha,, noma sana
Angalia,kuna mwenzio alikwenda kumuaga jamaa yake ikiwa kesho ni harusi yake,jamaa alivyomaliza kumtyomba demu alimfungia kufuli kwa nje demu siku 3 bibi harusi hajaonekana.Na jamaa akasepa zake.
 
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa

Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako

Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga

Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako

Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao

Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya

Jifunze kuacha
Wewe bibie umeolewa nitinge kwenu...hawa wanawake wamebaki wachache sana na wako hatarini kutoweka...
 
Miezi kadhaa iliyopita, kuna mwanamke alimegwa usiku huohuo siku ya harusi.
Bi harusi alipotea gafla, tafta bi harusi tafta na wewe!
Aiseee mara watu wakasikia miguno ya kimahaba bafuni, kuja kutoka n bi harusi! Bw harusi alisiz, baada ya mda kupita yule jamaa nae akafanya revenge bahat mbaya akafumaniwa na wafe wake! Na huo ndo ukawa mwisho wa ndoa yao. Yan ndoa haijamaliza hata mwaka.
Kwakweli wanawake design hyo Mungu anawaona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shetani ana nguvu nikichumbiwa navunja line zote.nishajipanga situnzi namba ya mtu kichwan zaid ya wazazi wangu.sharp
 
Tatizo ni nyie wenyewe. Una kiboy friend, mi natokea nakutongoza unanikubali. Nakuona unafaa kuwa mke napanga mipango ya ndoa na hujamwacha dogo mwenzio. Mwisho mnaagana.
.....qumamae ukiamua kuolewa unatakiwa umpige kibuti boyfriend wako sio kumuaga. Shenzi type
Wambie kabisa
 
Aisee akifanya hivyo, lazima afe!!! Labda ikiwa na Mimi ni mchepukaji, vinginevyo atakufa kabla ya send off.
 
Back
Top Bottom