Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Kuna demu nko nae alizalishwa na shugadaddy na limemwambia atafute kijana mstaarabu aolewe,afu ndoa litagharamia,.nawasiwasi sku karibu na ndoa lazima shugardaddy aage
 
Nami nishaagwa saana.... Lkn haikua mwisho kweli, nikiitaka naiita nakula tu,... Ama kweli mke wa leo kumuoa ni kujisogezea na kufupisha siku za kuishi tu
 
Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Kwahiyo ulienda mpaka kwenye kitchen party boss
 
Nimekwambia siku ya harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi. Kwenye kitchen party toka lini wanaume wakaenda au unajitoa ufahamu?
Kwahiyo nywele kwenye kitchen party ulizionaje boss?
 
Kwahiyo nywele kwenye kitchen party ulizionaje boss?
Kuna yale manywele wanayoshonea kwa ajili ya kuagwa yanabandikwa mpaka na pini ili yakae vizuri ndio alikuja nayo ghetto yaani alikuwa ana nywele alizotoka nazo kwenye sherehe ya kitchen party ndio akaja ili nimuage. Huwezi kuelewa ila ukikua utajua namaanisha nn

Nimekuwekea na picha kutoka mtandaoni kupanua uelewa wako
1147104
 
Kuna yale manywele wanayoshonea kwa ajili ya kuagwa yanabandikwa mpaka na pini ili yakae vizuri ndio alikuja nayo ghetto yaani alikuwa ana nywele alizotoka nazo kwenye sherehe ya kitchen party ndio akaja ili nimuage. Huwezi kuelewa ila ukikua utajua namaanisha nn

Nimekuwekea na picha kutoka mtandaoni kupanua uelewa wako
View attachment 1147104
Ahaaaa nimekuelewa boss..

Kwahiyo manywele ya kitchen party na mapin pin yake akawa anadhurula nayo. Duuuh mlikutana wote washamba washamba..

Bila Shaka wote wasukuma nyie..
 
Dawa ya kutobambikiwa kaa mwaka ukikwepa siku zake ndipo umpachike mimba
Mambo ya kuja kujua mbele ya safari mtoto amekua umemgharamia kila kitu unaambiwa mtoto sio wako aisehhh
 
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa

Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako

Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga

Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako

Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao

Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya

Jifunze kuacha


Nimefikiria haya.... si unaanza u boyfriend, uchumba halafu inakuja ndoa? Nini kimekutokea mpaka boyfriend asiwe mumeo?

Ndoa siyo majaribio
 
If I knew then, what I know now, it`s highly unlikely that, I would have taken the plunge, it has been such a waste of my time.
 
Back
Top Bottom