Kumuamini mwanamke ni tatizo

Kumuamini mwanamke ni tatizo

Hawa viumbe ni bure kabisa yani mimi ni wakupangwa eti anaumwa na tumbo kumbe jamaa kashajaza, ilikuwa nimikakati ya kuflash na nikatoa hela yangu!
MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
There are plenty of good women out there, unfortunately your girlfriend is not one of them.
 
Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
Hawa viumbe ni bure kabisa yani mimi ni wakupangwa eti anaumwa na tumbo kumbe jamaa kashajaza, ilikuwa nimikakati ya kuflash na nikatoa hela yangu!
MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nasisi tulaumiwe kwa kurubuni wanawakeee...dah! Unampanga mpaka anakosa pakutokea..
 
Mkuu unahisi ni sawa kusema wanawake wote wana tabia hii, je hujaona wenye tabia nzuri tu na ambao hawawezi kufanya mambo kama hayo? Mtaani kwako hamna hata mmoja?
Aysee mtaa wangu hakuna hata sample ya kupeleka maabara,yaani ni full vicheche,c wake za watu,wanachuo au wanafunzi,kiujumlaa hawashikiki
 
Back
Top Bottom