Kumuamini mwanamke ni tatizo

Kumuamini mwanamke ni tatizo

Inaonekana jamaa alikuacha akaoa mwanamke mwingine.
Unafikiri ukinitukana ndiyo jamaa atakuoa tena?
Kwa akili hizi unafikiri utaolewa? Siyo umalaya tu hata mdomo mrefu.
Muda wote mwanamke mdomo umejaa matusi, unawaza ngono muda wote na hauna msaada wowote wa mawazo ya kimaendeleo.
Huyo mumeo atakaye kuoa kazi anayo
Tatizo mnaoa Malaya mnategemea uaminifu

Mtanyooka tuu pumbavu nyie
 
Kupenda ni jambo lingine na kushindwa kudhibiti ashki za kimapenzi ni jambo lingine......

Ashki za kimapenzi zinakuja automatically kama una mpenzi au mke anakupa stara ya jambo hilo.....

Si kila anayetoka nje kimahusiano hampendi mpenzi wake la hasha ni kulingana na mazingira.......ni kama vile una njaa lakini nyumbani ni mbali na unalazimika kula kwa mama ntilie.......

Ndio maana unaweza ukajikuta umesaliti lakini hutaki umpendaye ajue.......

NB
Kama upo kwenye mahusiano jitahidi kudhibiti ashki zako....
 
Ndiyo 100%. Mwanamke ana roho ngumu kuliko viumbe vyovyote duniani.
Fikiria jamaa anahangaika kupambana mke wake ale, avae, matibabu, kodi n.k
Lkn utakuta mwanamke anabeba mimba ya mwanaume mwingine na anampa majukumu mume wake.
Jamaa analea mtoto siyo wake akidhani wake. Nina mifano hai kbsa.
Huwa mnajisikia amani kweli? Km jamaa haumpendi kwann usimuache ukapigwe mimba huko ulee mtoto wako kuliko kumpa majukumu mtu asiyehusika.
Mwanamke haifai kuaminiwa?
 
Ndiyoo 😀😏 hatutaki kuchafuliwa CV zetu.
Ndo nipo naulazimisha moyo wangu ukuamini lkn naona unaniirodhoshea magonjwa mbalimbali ati kichwa changu kinajiuliza unajua kifafa wewe..? Presha je..? Vipi kuhusu degedege..🤣

Labda nikuulize uaminifu wako unaweza kuutunza kwa muda gani..??!
 
Hatari mkuu kuti limekatika natakiwa nianze moja japo pa kuanzia sipaoni...,

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
pole sana mkuu mwanzo unakupa tafsir mbali mbali lakini ndo mwanzo huna budi kuuanza
ulishafanya kosa tayari mwanzo
mwanamke unatakiwa kumchana kitakatifu tu kuwa unaweza hali zote with/without her atachagua ,wenyewe
Hatari mkuu kuti limekatika natakiwa nianze moja japo pa kuanzia sipaoni...,

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
 
mkuu umempa mimba mke wa jamaa yako?
je wewe unafaa kuaminiwa?
 
Back
Top Bottom