Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda ni jambo lingine na kushindwa kudhibiti ashki za kimapenzi ni jambo lingine......
Ashki za kimapenzi zinakuja automatically kama una mpenzi au mke anakupa stara ya jambo hilo.....
Si kila anayetoka nje kimahusiano hampendi mpenzi wake la hasha ni kulingana na mazingira.......ni kama vile una njaa lakini nyumbani ni mbali na unalazimika kula kwa mama ntilie.......
Ndio maana unaweza ukajikuta umesaliti lakini hutaki umpendaye ajue.......
NB
Kama upo kwenye mahusiano jitahidi kudhibiti ashki zako....
Asante sana mpendwa.......uwe na siku njema.....Karibu supu ya utumbo hapa kwa mramba ndg.
Subutu kuna wanawake hawayumbishwi na huto tusenti twenu.
Mkuu washakuja huku....Wakija hapa, utajuta.
Mambo mengine watu hujitakia,labda tuwape udhuru kwa kutokujua kwao uhakika wa haya mambo.Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
Sasa mntaka mjadala uwe mrefu huu hautaisha mpk kizazi cha nne huko.. tunatumia mbinu mbadala..Wee afu umenieditia comment yangu sikuandika hivo mimi fyuu😏
Mkuu kuna watu wanawakuta wanawake na tabia chafu huko nje na wanajiaminisha wakisha waoa watabadilika.Mambo mengine watu hujitakia,labda tuwape udhuru kwa kutokujua kwao uhakika wa haya mambo.
Ninasema mimi,haya yafuatayo :
1. Ni kosa kubwa sana kukaa mbali na mkeo.
2. Bora uache kwenda masomoni ukae na mkeo.
Lakini ikitokea unaenda masomoni na mke fanya moja kati ya haya mawili :
1. Nenda nae au
2. Mpeleke akakishi nyumbani kwenu.
Kisha baada ya hapo(hayo mawili niliyo yataja hapo juu baada ya aya hii) kama wewe ni mtu wa imani ya din ya Mola mmoja,basi mkabidhi jambo lako akuhifadhie mkeo.
Hao wazembe.Mkuu kuna watu wanawakuta wanawake na tabia chafu huko nje na wanajiaminisha wakisha waoa watabadilika.
Kiufui hata ukimpeleka akawe sista kanisani kama alikua mgawaji ataipeleka tu mbususu yake hata kwa watumikiaji.
Kha kumbe kweli umeedit muone pua yake😀, nimeshtuka hivi kweli mimi ndo niliandika hivo jamani😜Sasa mntaka mjadala uwe mrefu huu hautaisha mpk kizazi cha nne huko.. tunatumia mbinu mbadala..
Mmeshakubali mjadala ufungwe..😂
Mi sijaedit mmefuta wenyewe komenti zenu sijui mmeambizana nini huko!Kha kumbe kweli umeedit muone pua yake😀, nimeshtuka hivi kweli mimi ndo niliandika hivo jamani😜
Mwanamke gani hasa umem maanishaJamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
sasa ujinga wa mtu mmoja ndo utubebeshe wote, kwaio tukisema wanaume wajinga wanaokuwa machoko tukakujumuisha na wewe utajisikiaje??Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
Kwa hiyo shida ni mimba? 🤣🤣🤣Wengine hawapigwi kwa senti wanapigwa kwa senti zao wenyewe.
Tena kwa hiyo situation iliyoelezwa ndio rahisi, jitu linaenda kusoma miaka miwili halafu kamuacha mke wake
Kwanza yeye tuu kule aliko hawezi kukaa bila kupasha, same to the woman. Tofauti ni mlume hawezi shika mimba