Kumuamini mwanamke ni tatizo

Kumuamini mwanamke ni tatizo

Utaona Sasa Kama huu mjadala utaisha mtakuwa mnapumzika tu mnarudi Tena mpk na vitukuu vyenu watajadili.. chakufanya nyie ishini tu kila mmoja apambane na bomu lake huko.😂
Sisi wanawake ni wabishi na hatupendi kuonewa.

Hasa kina sisi Karuceee uwii
 
Aisee![emoji45]
JamiiForums1445396198_469x527.jpg
 
Kwanini unasema ana akili mbovu?
1. Kwasababu hakutumia njia za kujilinda na ujauzito? au
2. Kwasababu amechepuka?
Hivi hapa jibu unahisi linaweza kuwa A bila B kweli mkuu? Nadhani ungeweka na jibu la all of the above are correct🤔.

Kafanya makosa kuchepuka coz ni mke halali wa mtu pia kuchepuka hadi ujauzito ni baya zaidi.
 
Lkn mme wake amekuwa masomoni kwa miaka mitatu pasipo kurudi (chumvi😊).. Yeye afanyeje sasa?..
Kwa mtazamo wangu; kosa ni kutojilinda na ujauzito tu.
 
Back
Top Bottom