Kumuelezea mpenzi wako historia yako ya kimapenzi kwa ulipotoka ni sawa?

Unajua kuna mdada nilikuwa na uhusiano naye wakati fulani, she looks very decent, yaani we acha tu! As time went by, nikawa nagundua mambo yake ya zamani ambayo yalikuwa too much kwa sababu baadhi ya maboyfriend wake ambao alikuwa akinisimulia kuwa alikuwa nao in the past, alikuwa bado anaendelea kuwasiliana nao licha ya kuwa nilikuwa namtishia kumwacha. Siku zilivyozidi kwenda, akawa anaonekana hana msimamo, mara abadilishe majina ya jamaa zake, na ukimwuliza sababu ya kufanya hivyo anakuwa mkali ile mbaya.
Ile taswira ya u-innocence ambayo ilikuwa kichwani mwangu ikatoweka yote, na nikawa namwona wa kawaida ile mbaya. Mbaya zaidi ikawa inanijia taswira kuwa huyu demu ni malaya. Sasa, past ya mtu kama huyu si nzuri, kwa kuwa alishindwa kui-control na imemharibia.
 
pole sana, inaonyesha ulimpenda sana bt unachotakiwa ni kwenda naye taratibu atabadilika tu,lakini sio kumuacha kabisa.so kwako ww mpz wako kukuelezea historia yake ya zamani ni so.... pole sana...
 
Filter sana...vya kusema na visivyo vya kusema!!!
si kila cha past yako ni relevant kwenye uhusiano wenu mpya...
asante bt inatakiwa uweke wazi vp vya kusema na vp havifai kufanywa?
 
unaweza kumueleza kiyasi ili ajue nini unapenda na nini hupendi au kosa alofanya mwenzake yeye mpz mpya asije akalifanya,lakini kusema yote mbona hata kuagana hamuagani kila kitu kinaishia hapo.
asante bt inaonyesha ww sio muwazi kwake?
 
Past ni siri ya mtu unauhakika gani hayo uliyosimuliwa yet ndio all about past ya mpenzi wako?Kama hakuna umuhimu wa kufanya hivo sidhani kama ni busara sana kusimulia your past,kuna past nyingine zinatia ganzi kuzisikia
kwaiyo inategemea na malengo yenu?au pia ina tegemea na mlivyokubaliana?
 
Kuna mtu aliimba "if u want my future, forget my past"!

sidhani kama ni busara kusimulia past, especially in details!; mara nyingi inabomoa kuliko kujenga; tujiulize objective yake ni nini kwanza?
okey asante, je kama akikuuliza?
 
Filter sana...vya kusema na visivyo vya kusema!!!
si kila cha past yako ni relevant kwenye uhusiano wenu mpya...

exactly Mentor na hasa kama Past yenyewe ina utata utata hivi unaweza kuspoil kila kitu aisee

Hivi ni kwa nini wengi hasa wasichana utasikia wanasema "wewe ni wa tatu, wa tatu tu, wa kwanza primare, o level nilikuwa na mmoja akanizingua hapa nina miaka 5 sijawa na uhusiano wa kimapenzi" ...dammn,,uwongo mtupu bora wasiseme kabisa....
 
unaweza kumueleza kiyasi ili ajue nini unapenda na nini hupendi au kosa alofanya mwenzake yeye mpz mpya asije akalifanya,lakini kusema yote mbona hata kuagana hamuagani kila kitu kinaishia hapo.
namaanisha siyo kwamba nn unapenda nn haupendi kumuelezea historia yako ya nyuma ya kimapenzi.
 
asante bt kwani kumuelezea mpz wako historia yako ni kwa ajili ya kujiaandaa kumuhandle tu?
pamoja na hilo. Kama alikuwa kicheche ujue utamtuliza vipi. Kama ni mgeni ujue unamkaribisha vipi. Sawa eeh!
 
sasa kama ndio ukweli wenyewe wasiseme!
 
anayekwambia ana lake jambo .........aidha ni tambo za papo kwa hapo....................ili ujue hujamkuta amezubaa ila ana wenyewe............yawezekana ameamua kuachana na tabia zile sasa ametulia na ndiyo maana anayafanya hayo maungamo.......tena ya wazi kabisa bila uficho.........................au ni nia ya kukufanya utakapoyasikia usishtuke............huyu anakuandaa umpokee na maovu yake...na ndiyo maana anajihami...............huko mbeleni ukikutana nayo................aweze kujitetea ya kuwa si nilikweleza mimi ni nyani na nyani habadiliki sura......................

makusudio yake si rahisi kuyafahamu ila wakati ni ukuta......................
 
wahenga walisema ukweli humuweka mtu huru....pamoja na yote itategemea na historia gani ya kumueleza huyo honey wako mpya, si kila jambo ulilotenda lazima alijue, naamini uzalendo utamshinda....mfano kwa binti huwezi mwambia mpenzi wako kuwa umewahi kutoa mimba tano! ingali ulifanya hivyo, cha msingi angalia mambo gani ya kumwambia ambayo ni taa mbaya kwa mahusiano yenu....wengine uzalendo huwashinda....ukijifanya ni champion wa justice yatakukuta.
 

Ukieleza haya utatoswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…