Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 595
- 122
Unajua kuna mdada nilikuwa na uhusiano naye wakati fulani, she looks very decent, yaani we acha tu! As time went by, nikawa nagundua mambo yake ya zamani ambayo yalikuwa too much kwa sababu baadhi ya maboyfriend wake ambao alikuwa akinisimulia kuwa alikuwa nao in the past, alikuwa bado anaendelea kuwasiliana nao licha ya kuwa nilikuwa namtishia kumwacha. Siku zilivyozidi kwenda, akawa anaonekana hana msimamo, mara abadilishe majina ya jamaa zake, na ukimwuliza sababu ya kufanya hivyo anakuwa mkali ile mbaya.
Ile taswira ya u-innocence ambayo ilikuwa kichwani mwangu ikatoweka yote, na nikawa namwona wa kawaida ile mbaya. Mbaya zaidi ikawa inanijia taswira kuwa huyu demu ni malaya. Sasa, past ya mtu kama huyu si nzuri, kwa kuwa alishindwa kui-control na imemharibia.