Kumuhamisha kitengo kunaleta lakini wa uchunguzi wa kesi za polisi,je hii kesi imeishia hapa au uchunguzi unaendelea?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni malaya.

Tunahitaji taarifa na hukumu ya kesi hii iende mahakamani.
 
Hii kesi ilitaka kumalizwa kinyemela lakini ni kama vile mhanga kalia kwa huzuni sana.

Jamaa wasingemnyima maji yule binti.
 
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni malaya.

Tunahitaji taarifa na hukumu ya kesi hii iende mahakamani.
Tuwe makini, pamoja na huu mjadala tukumbuke kuna mjadala mkali unaendelea Ngorongoro, tusije wasahau wenzetu Masai maana hili la afande linaweza kuwa poteza boya
 
ni Tanzania pekee kosa huondoshwa kwa propaganda ya kufanya kosa zaidi.
 
Back
Top Bottom