Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]

Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]

Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.

Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og
 
Magoli yote kachomesha Wala hakuna mjadala, wenzake wanasogea mbele ila macho yote yanaenda na move ya mpira ikitojea akaona dalili za kushambuliwa anarudi eneo lake sahihi kujiandaa kusave. Yeye kasimama kama kuni.
 
Ubora ubora ubora [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Alimsikiliza VuVu Midi Ally
 
Isije ikawa yule aliemuibia nguo za mazoezi kashafanya yake bongo nyoso hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…