Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Tuko kwenye vikao vya kufanya maamuzi ya nani atadaka kwenye mechi ijayo na Utopolo sababu mechi yetu ya mwisho na Utopolo kipa wetu huyu alitunguliwa mabao 3 ila refa kipenzi chetu akayakataa mabao 2 ya Utopolo ambayo yalikuwa mabao Safi kabisa.
 
Huyu sio kipa nzuri. Makolo wenyewe walishamtunguaga 7 kipindi yupo Holoya sijui hata vigezo gan wametumia kumsajili. Naomba tarehe 19 awepo golini ili tuongee lugha moja
Liverpool walishampiga goli 7 Allison akiwa Roma na msimu uliofuata walimchukua na akawa kipa wao namba moja na tangia hapo aliwasaidia kubeba makombe kadhaa.
 
Don’t rush into a conclusion. Just a couple of mistakes.

He’s young, he’s still learning.

He’s an excellent goalie no doubt
Your argument does not change the fact that as of this time, only one goalie holds a clean sheet, and it is Diarra. I am not a prophet to know the future, things can change but right now one Diarra is the only one holding a clean sheet
 
Diarra aliwahi kufungwa goli la katikati ya uwanja ni vile tu huko Utopoloni wenye akili ni wawili tu wengine mnajizima data
 
Your argument does not change the fact that as of this time, only one goalie holds a clean sheet, and it is Diarra. I am not a prophet to know the future, things can change but right now one Diarra is the only one holding a clean sheet
How many clean sheets Diarra had on his first 6 games at Young Africans?
 
Camara alipigwa tochi usoni kabla chama hajapiga mpira,,

Fuatilieni marudio ya video ya faulo ya chama kabla hajapiga mpira.

Utaona kitochi rangi kijani usoni mwa camara na yeye akijaribu kujikinga na tochi.
 
Back
Top Bottom