Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Camara alipigwa tochi usoni kabla chama hajapiga mpira,,

Fuatilieni marudio ya video ya faulo ya chama kabla hajapiga mpira.

Utaona kitochi rangi kijani usoni mwa camara na yeye akijaribu kujikinga na tochi.
Diarra nae alipigwa mbona...lkn hakuteteleka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom