Diarra nae alipigwa mbona...lkn hakutetelekaCamara alipigwa tochi usoni kabla chama hajapiga mpira,,
Fuatilieni marudio ya video ya faulo ya chama kabla hajapiga mpira.
Utaona kitochi rangi kijani usoni mwa camara na yeye akijaribu kujikinga na tochi.
Mlisema ni spidermanHuyu pin pin apunguze mbwembwe game ya pili hii anatuchomesha
Kalewa sifa huyo.Tabu ilianzia kwa Kipa kujidai nyau, haya sasa, mpira wa kutoka njee unaurudisha ndani.
[emoji23][emoji23]we huna akili kwa hiyo hata Onana wa man u anamuiga Diara