basi sawa diamond kashazomewa na kiba ameshangiliwa, then what?????? kwani tukiwasapoti wote itakuaje??? kwanini tunataka mmoja ashuke ndio mwingine apande? kwani itakuwaje wote wakawa juu??hicho kiti cha king sijui kipo kimoja tuu??

Labda siku nzima usikilize wimbo mmoja maana ukiisha tu......
basi sawa diamond kashazomewa na kiba ameshangiliwa, then what?????? kwani tukiwasapoti wote itakuaje??? kwanini tunataka mmoja ashuke ndio mwingine apande? kwani itakuwaje wote wakawa juu??hicho kiti cha king sijui kipo kimoja tuu??
MR Nice ameshapata kampani murua.
Hahhahaha haya matusi kbsaaaa.Keshaomba pooooo.kama unaishi kwa shemeji yako (dada ako ndio kaolewa) huwezi kulala usiku,maana muda wote shemeji akikohoa unadhani anapita kwenda ku pee lazima ushituke usogeze mattress pembeni..na saa kumi na moja lazima uwe ushaamka maana shemeji anaamka kuangalia Tv sitting room unapolala
Hahaha...Haaaaaaaaa nimecheka uwiii...this made my day watu mna hasira humu hatareeee
Naona umeamua kuwambua misukule!ngoja niipe uhai hii thread nione kama watarudi tena kuchangia, kilichofanyika 2014 ni kama kumpiga teke chura.
Tunatakiwa tujifunze kuweka akiba ya maneno.ngoja niipe uhai hii thread nione kama watarudi tena kuchangia, kilichofanyika 2014 ni kama kumpiga teke chura.
Naona umeamua kuwambua misukule!