madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 589
ahahah eti wachawi wa mwendokasi,binafsi naona mashabiki wengi wa team pinzani na bwana almasi(zote mbili) wanaumia nyoyo sana maana wana chuki sijui likitu gani la moto limewakaba kwenye koo hahaha,ndo mana wanatukana sana lakin bado hawaridhiki.ipo sku mtu atajimurder asee.Hii nchi ina wachawi wa mwendo kasi wengi sana
we are on dstv preparing some programmes, laterhio ni sentens tata mkuu utata wake unakuja pale mada inamuhusu rais wa wasafi na mwana dsm afu wote wanapewa sifa so cjajua yupi anaevishwa crown ilio mzid kichwa
Kiba hana shukurani, hana ubinadamu hata kidogo. Alikwisha potea na akatumia nyota ya Jokate na mrembo mwenyechuki mahips kurudi katika game.we are on dstv preparing some programmes, later
kila mwanaume ni strong nsijue kwenuKiba hana shukurani, hana ubinadamu hata kidogo. Alikwisha potea na akatumia nyota ya Jokate na mrembo mwenyechuki mahips kurudi katika game.
Hivi sasa kaona anawika ameamua kumpiga kibuti Jokate kwa kashfa na kutoa maneno ya hovyo. Hata kama yupo kwa bibie 7, siyo vizuri kutoa kashfa kwa ex wake.
Namshauri amuombe radhi Jokate maana wanaweza tengeneza timu na akaangushwa. Mondi alikuwa strong, huyu dhaifu watammaliza. Jokate akiunga nguvu na mahips wanaweza kummaliza. Ni ushauri tu.
vipi kaka hili kaburi lilifukuliwa au hamkumzika?Mda wa diamond umekwisha,Jana ndo kaburi lake la mziki
Wachawi kama hawa sijui wamefia wapiMda wa diamond umekwisha,Jana ndo kaburi lake la mziki
Una lakusema bado?Domo kwishney patel kemcho I'm dabat...
hv bado unasomaga hapa kweli?Mda wa diamond umekwisha,Jana ndo kaburi lake la mziki
Kwa sie wapenzi wa Ndomo,yawezekana itachukua muda mrefu sana kulisahau hili tamasha la fiesta 2014 maana limekuwa kama mkuki kuchoma kwenye kidonda,wakati mashabiki wake tukijua na kuamini Diamond yuko
kwenye PEACK ( au climax yenyewe ile) ghafla hatuamini wala kusadiki kile kinachotokea usiku wa jana pale leaders club.
Kwa mara ya kwanza Diamond aka sukari ya warembo anazomewa akiwa jukwaani,na kibaya zaidi anazomewa karibu na umati wote,..inahuzunisha sana,inatia hasira sara,inafedhehesha sanaa,INAUMIZA zaidi pale Ally Kiba anapomfunika Dimond kwa mbali sana,Ally Kiba kashangiliwa sana,..yaani mtu ambaye siku mbili zilizopita Dimond alitangaza kumsaidia kufanya collabo ili amuinue ndiye anamfunika..hii haita kaa kamwe itoke kichwani kwa Dimond na mashabiki wake.
Baada ya tukio hili,ambalo naweza sema ni baya sana kibiashara kwa Diamond hapa Tanzania,yamejitokeza makundi ambayo yanataka kumtetea Diamond au kugeuza hali halisi ya jana kuwa tofauti,baadhi yao wamekuja na hoja dhaifu kabisa kama vile
1/Mashabiki walitengenezwa kumzomea Dimond
2/Dimond anachukiwa na Watanzania
3/Dimond ni wakimataifa hata watanzania tukimchukia mataifa mengine yatamuabudu
4/clouds wametengeneza watu wazomee kumshusha Dimond
5/Watanzania hatujui vizuri ndio maana wamemshangilia Kiba
6....
Kiukweli ukiangalia hizo sababu hapo hata moja yenye mashiko haipo,hazina msing wala hazina ukweli,DIMOND SI WA KIMATAIFA kumlinganisha hata na Davido,acha hao wa kimataifa wenyewe,wala huwezi mlinganisha hata na Jay D, Dimond bado ana kazi kubwa ya kufanya kufikia kuitwa wa kimataifa,kwenda kuwaaimbia wabongo wanaoish marekani etc haitoshi kujiita wa KIMATAIFA.
Dimond,yawezekana umeanza kuchukiwa na Watu,sio kwa sababu yako,ila kuna timu yako unawalipa kwaajili ya PR wanashinda kwenye mitandao hao ndio wanaokuharibia,hawajui misingi ya PR..wanapost utumbo watu wakiponda wanarudi kuwajibu kwa kejeli na matusi hatimaye hasira zaja kwako,change hiyo timu ya PR,muangalie Jay Dee anafanyaje kwenye mamabo ya PR...
Kila la kheri Dimond..
Vp mkuu una uhakika na chai?? Punguza uchawiNamuona Mr Nice yule anamvuta mkono ..........
Watu wanafukua makaburiiiNachoikubali JF we puyanga tu,ila kuna siku watu watakukumbusha upuuzi wako.
Hakika mleta mada anajifanya haoni notification za mada yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli muombee adui yako aishi miaka mingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Ameisha?Mda wa diamond umekwisha,Jana ndo kaburi lake la mziki