Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

Hii nchi ina wachawi wa mwendo kasi wengi sana
ahahah eti wachawi wa mwendokasi,binafsi naona mashabiki wengi wa team pinzani na bwana almasi(zote mbili) wanaumia nyoyo sana maana wana chuki sijui likitu gani la moto limewakaba kwenye koo hahaha,ndo mana wanatukana sana lakin bado hawaridhiki.ipo sku mtu atajimurder asee.
 
hio ni sentens tata mkuu utata wake unakuja pale mada inamuhusu rais wa wasafi na mwana dsm afu wote wanapewa sifa so cjajua yupi anaevishwa crown ilio mzid kichwa
we are on dstv preparing some programmes, later
 
we are on dstv preparing some programmes, later
Kiba hana shukurani, hana ubinadamu hata kidogo. Alikwisha potea na akatumia nyota ya Jokate na mrembo mwenyechuki mahips kurudi katika game.

Hivi sasa kaona anawika ameamua kumpiga kibuti Jokate kwa kashfa na kutoa maneno ya hovyo. Hata kama yupo kwa bibie 7, siyo vizuri kutoa kashfa kwa ex wake.

Namshauri amuombe radhi Jokate maana wanaweza tengeneza timu na akaangushwa. Mondi alikuwa strong, huyu dhaifu watammaliza. Jokate akiunga nguvu na mahips wanaweza kummaliza. Ni ushauri tu.
 
kila mwanaume ni strong nsijue kwenu
 
Wewe siyo shabiki wa diamond.
Vipi kwa sasa Alikiba anaweza pambana na diamond au bado unaishi kwenye zilipendwa
Kwa sie wapenzi wa Ndomo,yawezekana itachukua muda mrefu sana kulisahau hili tamasha la fiesta 2014 maana limekuwa kama mkuki kuchoma kwenye kidonda,wakati mashabiki wake tukijua na kuamini Diamond yuko
kwenye PEACK ( au climax yenyewe ile) ghafla hatuamini wala kusadiki kile kinachotokea usiku wa jana pale leaders club.

Kwa mara ya kwanza Diamond aka sukari ya warembo anazomewa akiwa jukwaani,na kibaya zaidi anazomewa karibu na umati wote,..inahuzunisha sana,inatia hasira sara,inafedhehesha sanaa,INAUMIZA zaidi pale Ally Kiba anapomfunika Dimond kwa mbali sana,Ally Kiba kashangiliwa sana,..yaani mtu ambaye siku mbili zilizopita Dimond alitangaza kumsaidia kufanya collabo ili amuinue ndiye anamfunika..hii haita kaa kamwe itoke kichwani kwa Dimond na mashabiki wake.

Baada ya tukio hili,ambalo naweza sema ni baya sana kibiashara kwa Diamond hapa Tanzania,yamejitokeza makundi ambayo yanataka kumtetea Diamond au kugeuza hali halisi ya jana kuwa tofauti,baadhi yao wamekuja na hoja dhaifu kabisa kama vile
1/Mashabiki walitengenezwa kumzomea Dimond
2/Dimond anachukiwa na Watanzania
3/Dimond ni wakimataifa hata watanzania tukimchukia mataifa mengine yatamuabudu
4/clouds wametengeneza watu wazomee kumshusha Dimond
5/Watanzania hatujui vizuri ndio maana wamemshangilia Kiba
6....

Kiukweli ukiangalia hizo sababu hapo hata moja yenye mashiko haipo,hazina msing wala hazina ukweli,DIMOND SI WA KIMATAIFA kumlinganisha hata na Davido,acha hao wa kimataifa wenyewe,wala huwezi mlinganisha hata na Jay D, Dimond bado ana kazi kubwa ya kufanya kufikia kuitwa wa kimataifa,kwenda kuwaaimbia wabongo wanaoish marekani etc haitoshi kujiita wa KIMATAIFA.

Dimond,yawezekana umeanza kuchukiwa na Watu,sio kwa sababu yako,ila kuna timu yako unawalipa kwaajili ya PR wanashinda kwenye mitandao hao ndio wanaokuharibia,hawajui misingi ya PR..wanapost utumbo watu wakiponda wanarudi kuwajibu kwa kejeli na matusi hatimaye hasira zaja kwako,change hiyo timu ya PR,muangalie Jay Dee anafanyaje kwenye mamabo ya PR...

Kila la kheri Dimond..
 
Back
Top Bottom