Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Bibi yako na Babu yako wa mwaka 1940 walisomea wapi ? Hivi wewe kutafuta x and Y ndio unajua umesoma sana, Elimu sio kukaa darasani na kupata lile karatasi là maandazi, You are ability to transform and reform your society from one step to the best next levelHapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.
Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.
Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Mama yako amesoma?Hapo vip!!

Mh!shikamooniMaisha bwana, wangekuwa hawajasoma hawaolewi sijui ka huko vijijini tulikozaliwa ka tungezaliwa.. Ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo
Ushirikina Hauna Kipato, elimu Wala jinsia.endelea kujidanganya
kuna wasomi wachawi wengi balaa na uchawi ni hulka tu.Kuna wasichana haamini kama bila mganga kuna kitu kitafanyika.Nina rafiki kaoa msomi yaani huyo mama ni Malaya balaa.Alipokuwa chuo ile kitu alikipenda sana sasa kashindwa kuacha.mlevi na Malaya na hachagui hata wa kutembea naye.Ni aibu tupu kwa mme wake na mme kamwekea limbwata hasemi kituHapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.
Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.
Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Mtoa mada ata kua ni wale wanaopenda kupakatwa.Mtoa mada atakuwa na umri kati ya 15-21
Atakuwa amefanya utafiti kwa mke wakeMleta uzi naye anadai amefanya utafiti....???
Sio kweli mkuu pambana tu na hali yako mkuu
Wanaume wa dar mnahangaika sana kuoa hawo CBE felia wasio weza hata kuzungusha viuno kaz yao kuvaa wigi zinazonuka kama kichoo kidogo na kufuga mikucha bandia bandia kama majini