Kumuoa mwanamke ambaye hajasoma sawa na kumleta mganga wa kienyeji ndani ya nyumba

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
 
Sasa mbona unanikatisha tamaa kwa hause girl wangu (my sweety!sweety!)[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Bibi yako na Babu yako wa mwaka 1940 walisomea wapi ? Hivi wewe kutafuta x and Y ndio unajua umesoma sana, Elimu sio kukaa darasani na kupata lile karatasi là maandazi, You are ability to transform and reform your society from one step to the best next level
 
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Mama yako amesoma?
 
Mleta uzi naye anadai amefanya utafiti....???
 
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
kuna wasomi wachawi wengi balaa na uchawi ni hulka tu.Kuna wasichana haamini kama bila mganga kuna kitu kitafanyika.Nina rafiki kaoa msomi yaani huyo mama ni Malaya balaa.Alipokuwa chuo ile kitu alikipenda sana sasa kashindwa kuacha.mlevi na Malaya na hachagui hata wa kutembea naye.Ni aibu tupu kwa mme wake na mme kamwekea limbwata hasemi kitu
 
Sio kweli mkuu pambana tu na hali yako mkuu

Wanaume wa dar mnahangaika sana kuoa hawo CBE felia wasio weza hata kuzungusha viuno kaz yao kuvaa wigi zinazonuka kama kichoo kidogo na kufuga mikucha bandia bandia kama majini

Wewe huwa ni wawapi? Si katika post zako huwa unasema unaishi Dar? Ila mkuu we kuna kitu nyuma yako, hili jukwaa kuna wataalamu tu watakuja na majibu sahihi kuhusu wewe
 
WEWE MSOMI LIMBUKENI MAMA YAKO NI MSOMI! TOFAUTISHA KUCHAGUA MKE NA KUCHAGUA MFANYAKAZI.MKE NI MKE NA MAMBO YA KUSOMA HAYAPO KABISA!!
 
Back
Top Bottom