Kumuoa mwanamke ambaye hajasoma sawa na kumleta mganga wa kienyeji ndani ya nyumba

Kama mama zenu waliowazaa kwa sababu hawajasoma mnawaita waganga wa kienyeji vipi kuhusu Baba yako asiesoma yeye aitwe mchawi?

Punguza nyodo na dharau kijana hata hiyo elimu na mafanikio ulionayo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hao unaowaita waganga wa kienyeji
 
Nani amekudanganya kuwa maofisini huko ambako watu wamesoma na vyeo wanavyo.... kuwa hawatumii uchawi na ushirikina katika majukumu yao???
 
Tena aliyesoma maadam amekutana na wengi ,sio tu limbwata bali anakuchukua msukule kabisa!! Yeye anabaki mama mwenye nyumba
 
Wanawake walio wengi wanapenda ushirikina ushirikina, mimi sidhani kama elimu ina matter hapa..ndivyo walivyo
 
Uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…