Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kwa zama hizi bora nioe mwanamke ambaye hana elimu sana anaweza kuwa msikivu kuliko hawa wanaoishi kwenye Expansion Joints.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHEKI HUYU MSOMI UMEFIKA MUDA WA KUCHAGUA MKE ALIYESOMA!!!!!Kwa zama hizi bora nioe mwanamke ambaye hana elimu sana anaweza kuwa msikivu kuliko hawa wanaoishi kwenye Expansion Joints.
BAADA YA KUMALIZA KADIGRII KAKO KA EXPANSION JOINT NA KONYAGI MOJA NDIO UNAJIONA UMEFIKA SANA!!! NIMEKUFANANISHA NA HUYU JAMAA HAPA,,,,,Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.
Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.
Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Pole sana,mbona ww Imekugusana sana?????BAADA YA KUMALIZA KADIGRII KAKO KA EXPANSION JOINT NA KONYAGI MOJA NDIO UNAJIONA UMEFIKA SANA!!! NIMEKUFANANISHA NA HUYU JAMAA HAPA,,,,,
View attachment 647720
Poa mkuuWewe huwa ni wawapi? Si katika post zako huwa unasema unaishi Dar? Ila mkuu we kuna kitu nyuma yako, hili jukwaa kuna wataalamu tu watakuja na majibu sahihi kuhusu wewe
IMENISIKITISHA SANA KWANI ANGALAU NINA UHAKIKA KWA KISOMO NITAKUWA NIMEKUZIDI NA KWA TAARIFA YAKO SIJASOMA KWA MIKOPO HII YA BODI YA HAPA BONGO NA HATA MKE WANGU NINA UHAKIKA KWA REASONING YAKO YA KADIGRII KAKO KAMOJA KA CHUO CHA KATA MKE WANGU ANAKUZIDI KWA KISOMO.NJOO INBOX NIKUTUMIE MAGAMBA AU TUWEKE HAPA,CHA MKE WANGU TU KINAKUTOSHA.HUU ULIMBUKENI WAKO NDIO UMENIKWAZA!Pole sana,mbona ww Imekugusana sana?????
IMENISIKITISHA SANA KWANI ANGALAU NINA UHAKIKA KWA KISOMO NITAKUWA NIMEKUZIDI NA KWA TAARIFA YAKO SIJASOMA KWA MIKOPO HII YA BODI YA HAPA BONGO NA HATA MKE WANGU NINA UHAKIKA KWA REASONING YAKO YA KADIGRII KAKO KAMOJA KA CHUO CHA KATA MKE WANGU ANAKUZIDI KWA KISOMO.NJOO INBOX NIKUTUMIE MAGAMBA AU TUWEKE HAPA,CHA MKE WANGU TU KINAKUTOSHA.HUU ULIMBUKENI WAKO NDIO UMENIKWAZA!Pole sana,mbona ww Imekugusana sana?????
Ungekuwa na elimu usingekuja na arguments za kishamba na za mtaani kama unazokuja nazo humu,ungesoma ungeelimisha badala yakutoa ur bullshits.IMENISIKITISHA SANA KWANI ANGALAU NINA UHAKIKA KWA KISOMO NITAKUWA NIMEKUZIDI NA KWA TAARIFA YAKO SIJASOMA KWA MIKOPO HII YA BODI YA HAPA BONGO NA HATA MKE WANGU NINA UHAKIKA KWA REASONING YAKO YA KADIGRII KAKO KAMOJA KA CHUO CHA KATA MKE WANGU ANAKUZIDI KWA KISOMO.NJOO INBOX NIKUTUMIE MAGAMBA AU TUWEKE HAPA,CHA MKE WANGU TU KINAKUTOSHA.HUU ULIMBUKENI WAKO NDIO UMENIKWAZA!
ndio ulivyo wewe!! mama yako kasomaUngekuwa na elimu usingekuja na arguments za kishamba na za mtaani kama unazokuja nazo humu,ungesoma ungeelimisha badala yakutoa ur bullshits.
Kwa jinsi tu unavyoargue moja kwa moja inaonyesha yakwamba haujasoma then mara mke wangu amesoma kuliko wako, mbona povu jingi bro??ndio ulivyo wewe!! mama yako kasoma
MwenyeweMh!shikamooni