Kumuuliza mtu afya yake sio ustaarabu?

Kumuuliza mtu afya yake sio ustaarabu?

wabongo ..... Ukikonda atakuuliza mbona umekonda
ukinenepa atakuuliza mbaona umenenepa...
Ukikohoa atakuuliza vipi mbona kikohozi...

Sasa ole wako mkutane ukiwa umekonda na unakohoa.......

All in all hzipendezi, binafsi huwa siulizi hilo swali

au kumuuliza mwanamke 'umeolewa?lol
hawapendi hilo swali hasa kama bado..
 
Mi nshakuwa na experience na watu ambao afya imedorola. Hawataki macho ya watu wala sympathy. Hata ikitokea mkagongana uso kwa uso, basi pretend as if huoni difference; sio unashangaa shangaa.

na kuna wale 'waliofilisika'
mama yangu aliwahi 'kumkimbia bosi wake wa zamani' kwenye kituo cha daladala...lol
huyo jamaa alikuwa tajiri toka enzi za nyerere...
alivyomkuta kwenye stendi anasubiri daladala huku 'kachooka mno'
hakuamini....
akamkwepa ili asijisikie vibaya..
 
Sio kupungua/kukonda tu....hata kumwambia mtu kanenepa kwa wengine inaweza kuwakwaza....kwa ujumla inatakiwa kuwa makini kwa comment yoyote kuhusu umbo la mtu.....labda kwa watu mliozoeana sana!
 
kama ni mtu wa karibu sana unamuuliza kulikoni, atakusimulia tu kwamba ana matatizo haya na yale
sio mtu ulisoma nae primary unakutana nae miaka ishirini imepita au kumi unaanza kushangaa
mambo mengi kapitia ati
 
I think some people are just overly sensitive for no reason. They take offense at the most trifling of things. I once asked a girl if she was pregnant and she got mad at me. To her it meant (her interpretation) I was saying she was fat. To me her belly appeared to be distended. I meant no harm when I asked but obviously she was very sensitive about her weight.

So ever since then I've learned to just play it safe and not ask anything that I think could be misconstrued. Of course this is highly subjective but I try my best.

Another thing is not what you say but rather how you say what you say. Understanding cultural differences can also help a lot. For example, calling someone fat in our culture is not an insult but in American culture it's an insult. So like I said, I'd rather take the safest route of just not opening my mouth when it comes to things that are personal.
 
Mtu anakuuliza unakaa wapi? mie huwa nawajibu kwenye jamvi. Yanajichekesha halafu yanakaa kimya.

Kama nataka ujuwe nnakaa wapi si ntakualika kwangu.
 
nadhani ni ushamba tu. nilikua na rafiki mdada mwenye tabia mbaya kweli na kawivu flani:canada:. akikuona na something new, hata nyumbani anauliza 'hii umenunua sh ngapi'. ukimjibu tu (kwa nia njema ili akipenda akachukue) anakujibu ' aaah, wamekuingiza mjini. hizi nguo zimemwagwa kkoo wanauza sh 2000 lol!' Tatizo lake alikua msahaulifu, basi aftr 2 wks anaanza tena 'eti ile nguo yako ulinunua duka gani vile, nataka nimuagize mtu'. manake akikutembelea anauliza hadi bei ya slip-on/ ndala unazovaa ndani!
yaani alikua mtambo kishenzi, ila siku hizi keshazoea mjini naona kaacha tabia ya kuuliza bei. na nilimsaidia manake alikua akiuliza tena abt bei namuuliza "vipi, unataka kunirudishia hela yangu?''
but utagundua watu wengi hawajui haya
mtu anakuuliza eti umeoa? unasubiri nini??????
au watoto wangapi?mbona unachelewa ongeza ongeza lol
 
u ask a gal if she is pregnant only if u ar sleeping with her and u need to get prepared for the baby!
sometimes its just a beer belly, hahahah! Happened I was bumping onto an old coaligue in my lunch time fav spot and i thought she was due kabisaaa! in a few weeks i asked another coaligue wanafanya kazi pamoja, 'vipi, keshajifungua", NN I got my piece that day and was glad I was me! nilijibiwa "was she pregnant?!''
u can imagine!
I think some people are just overly sensitive for no reason. They take offense at the most trifling of things. I once asked a girl if she was pregnant and she got mad at me. To her it meant (her interpretation) I was saying she was fat. To me her belly appeared to be distended. I meant no harm when I asked but obviously she was very sensitive about her weight.

So ever since then I've learned to just play it safe and not ask anything that I think could be misconstrued. Of course this is highly subjective but I try my best.

Another thing is not what you say but rather how you say what you say.
 
Au mtu anakuuliza wewe jinsia gani
unamwambia
afu haamini
sasa sijui anataka akuvue nguo?
Wakati mko jf
inachosha kweli
but utagundua watu wengi hawajui haya
mtu anakuuliza eti umeoa? unasubiri nini??????
au watoto wangapi?mbona unachelewa ongeza ongeza lol
 
u ask a gal if she is pregnant only if u ar sleeping with her and u need to get prepared for the baby!
sometimes its just a beer belly, hahahah! Happened I was bumping onto an old coaligue in my lunch time fav spot and i thought she was due kabisaaa! in a few weeks i asked another coaligue wanafanya kazi pamoja, 'vipi, keshajifungua", NN I got my piece that day and was glad I was me! nilijibiwa "was she pregnant?!''
u can imagine!

Hahahahaaa...well, I learned my lesson the hard way! That day I got an earful for hurting someone's feelings. And I've been super cautious ever since. Never ask a woman her age, weight, or anything extremely personal unless you are 'that cool' with her. Other than that you are looking for trouble.
 
Au mtu anakuuliza wewe jinsia gani
unamwambia
afu haamini
sasa sijui anataka akuvue nguo?
Wakati mko jf
inachosha kweli
Dah....hii nayo kali! Ni hapa jf tu au hata nje watu wanakuuliz jinsia yako?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuulizia afya na kuulizia sababu za kukonda...Labda niwe nimetoka diet, ila ukinikuta tu nimejikalia uniambie kua nimekonda, tena kwa kuuliza: duh! mbona umekonda namna hii, shida nini? kwa kweli nitachukia.
 
Lol! Yeye ndo The Boss na The Boss ndo yeye banaa! Hebu mtake radhi ( najipendekeza kwa Kongosho japo sina hakika na jinsia yake,lol)
We ndo the Boss au unajipendekeza tu muone kwanza umbea tuuu
 
Ha ha ha, jipendekeze binti ntakupa ukuu wa wilaya
wala hujakosea ni kwa faida yako na kizazi chako kijacho

Lol! Yeye ndo The Boss na The Boss ndo yeye banaa! Hebu mtake radhi ( najipendekeza kwa Kongosho japo sina hakika na jinsia yake,lol)
 
Lol! I got my secret motive japo ukuu wa wilaya siutaki. Hujaisoma signature yangu? Hehehe,kaazi kweli!
Ha ha ha, jipendekeze binti ntakupa ukuu wa wilaya
wala hujakosea ni kwa faida yako na kizazi chako kijacho
 
Back
Top Bottom