Kumuuza Chama ilikuwa ni kosa kubwa Simba

Baada ya kumuachia Miquison haikuwa tena busara kumruhusu Chama aondoke wakati huo huo alafu kutaka Wageni walete kilichokuwa kinafanywa na Miquison na Chama.

Kwa kuwa Miquison alishaondoka sikutegemea tena kuona Mchezaji mwingine tegemeo aondoke papo hapo...walau angebakizwa kwa msimu mmoja huku Wageni wakiendelea kupata uzoefu.

Simba ya sasa hivi hata ikitolewa mashindanoni mapema sitashtuka sana.
 
angekaa milele ifike sehemu tujue maisha yapo baada ya mpira au kapata deal tumuache abaki.

walikuwepo chama na miq bado tulifungwa


tukubali yanga walikuwa bora nje na ndani ya uwanja tukafungwa
 
Shabiki maandazi katka ubora wako
 
Ujinga umeandika.

Kuna Real Madrid bila Ronaldo na Ramos

Barcelona bila Messi

Biashara ilifanyika klabu zikaanza maisha mapya.

Maisha yanaendelea ndiyo biashara ya mpira.
 
Hata mimi nawashangaa hawa wachambuzi wetu, simba kapoteza mara nyingi tu kwa yanga na chama alikuwepo, tukubali tu tulifungwa kwa sababu ya kuzidiwa technic na yanga
 
Tatizo bro ni mwenye mali,aliamua auzwe japo chama aliomba radhi but jamaa alikataa kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yule n mchezaji wew Hiv unajua mpira wew n fata mkumbo mchezaji s mtumwa kwamba atakaa kwenye timu moja milele anahitaj exposure ya kucheza timu Kubwa mbali mbali to get new experience
 
Unataka ubora gani huo na kutoka kwa Nani


1.Banda alikua one of the best akiwa sheriff ambayo leo ipo kucheza na Real Madrid tena champions league

2.Sakho mchezaji bora league ya Senegal


3.Kanoute mpaka pale ni bora sana

4.Hao watoto unataka wawe matured wapi???? Messi alianza kua bora toka akiwa na miaka 16 Ansu Fati, Viniscius Sasa hao wa miaka 24 unaona watoto ambao hawastahili kua simba

NB: Tusubiri mda utaongea ila Simba ni team nzuri bado
 
Acheni huu upuuzi, football ni biashara ni kazi kama zingine , chama alikuwa analipwa milion12 per month leo huko aliko moroco analipwa milion 48 , angebaki vipi????

Mnafikiria lakini mnachokisema ???
 
Hujui mpira shabiki maandazi wewe
 
Mkuu nadhani huijui biashara ya mpira, kwa ofa aliyoipata ulitaka aiache, huo mshahara anaoupata wewe ungetaka abaki ungeulipa? Acheni kujifanya wajuaji.
 
Chama aliuzwa na mwamedi baada ya ile interview insta, kama vile kumkomoa... Kanjibai bhana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…