May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Baada ya kumuachia Miquison haikuwa tena busara kumruhusu Chama aondoke wakati huo huo alafu kutaka Wageni walete kilichokuwa kinafanywa na Miquison na Chama.
Kwa kuwa Miquison alishaondoka sikutegemea tena kuona Mchezaji mwingine tegemeo aondoke papo hapo...walau angebakizwa kwa msimu mmoja huku Wageni wakiendelea kupata uzoefu.
Simba ya sasa hivi hata ikitolewa mashindanoni mapema sitashtuka sana.