Kumuuza Chama ilikuwa ni kosa kubwa Simba

Baada ya kumuachia Miquison haikuwa tena busara kumruhusu Chama aondoke wakati huo huo alafu kutaka Wageni walete kilichokuwa kinafanywa na Miquison na Chama.

Kwa kuwa Miquison alishaondoka sikutegemea tena kuona Mchezaji mwingine tegemeo aondoke papo hapo...walau angebakizwa kwa msimu mmoja huku Wageni wakiendelea kupata uzoefu.

Simba ya sasa hivi hata ikitolewa mashindanoni mapema sitashtuka sana.
 
angekaa milele ifike sehemu tujue maisha yapo baada ya mpira au kapata deal tumuache abaki.

walikuwepo chama na miq bado tulifungwa

tukubali yanga walikuwa bora nje na ndani ya uwanja tukafungwa
 
Shabiki maandazi katka ubora wako
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.

Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.

Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.

Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Ujinga umeandika.

Kuna Real Madrid bila Ronaldo na Ramos

Barcelona bila Messi

Biashara ilifanyika klabu zikaanza maisha mapya.

Maisha yanaendelea ndiyo biashara ya mpira.
 
Mbona kipindi chama yupo tuliwahi kufungwa na yanga, tukadroo na T. Prisons kwa mbinde, tukafungwa na Kaizer chief n.k.
Mpira hauko hivyo bro, mechi moja au mbili so kipimo cha timu kama ni bora au lah

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nawashangaa hawa wachambuzi wetu, simba kapoteza mara nyingi tu kwa yanga na chama alikuwepo, tukubali tu tulifungwa kwa sababu ya kuzidiwa technic na yanga
 
Maoni ya wananzengo
Screenshot_20210927-144821.jpg
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.

Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.

Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.

Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Tatizo bro ni mwenye mali,aliamua auzwe japo chama aliomba radhi but jamaa alikataa kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yule n mchezaji wew Hiv unajua mpira wew n fata mkumbo mchezaji s mtumwa kwamba atakaa kwenye timu moja milele anahitaj exposure ya kucheza timu Kubwa mbali mbali to get new experience
 
Unataka ubora gani huo na kutoka kwa Nani

1.Banda alikua one of the best akiwa sheriff ambayo leo ipo kucheza na Real Madrid tena champions league

2.Sakho mchezaji bora league ya Senegal

3.Kanoute mpaka pale ni bora sana

4.Hao watoto unataka wawe matured wapi???? Messi alianza kua bora toka akiwa na miaka 16 Ansu Fati, Viniscius Sasa hao wa miaka 24 unaona watoto ambao hawastahili kua simba

NB: Tusubiri mda utaongea ila Simba ni team nzuri bado
Yuko sahihi kinachoonekana sasa ni mwendelezo wa yanayotokea,,,mpira unachezwa adharani kila kitu kinaonekana, atukatai kuuza wachezaji kwa maana ni jambo la kawaida duniani kote, lakini unapofanya replacement unatakiwa uangalie aina ya replacement unayokwenda kuifanya je inalingana au kukalibiana na kilichoondoka ili kulinda ule ubora uliokuwepo awali, hiki ndicho kitakachowatesa simba msimu huu, Mwamed amekuwa mgumu wa kufanya usajili mkubwa msimu huu kwa maana target yake kwa sasa ni kufanya biashara ya wachezaji, ananunua vijana wadogo wasiokuwa na uzoefu wowote kwa bei ndogo ili waje wakue auze, yaani anataka kuwa Kama Arsenal wanavyofanya awawazi makombe wao wanawaza faida wanayoingiza kupitia biashara ya wachezaji, ndicho ninachokiona kwa mo sasa hivi, kwa akili ya kawaida nilitegemea ameuza chama na miksoni kwa pesa nzuri angeingia sokoni kutafuta wachezaji wawili wa maana ambao ingewachukua mda mfupi Sana kuwapa kile wanachokitaka, mchezaji mkubwa unapomsajili aiitaji mda mrefu kuona u bora wake, unaliona hilo kwa akina bangala na aucho wa yanga na mayele,,ni wachezaji ambao ni top prayer na wameonyesha ilo kwa mda mfupi, sasa mwamed hii misheni yake itawaumiza mashbiki wake
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.

Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.

Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.

Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Acheni huu upuuzi, football ni biashara ni kazi kama zingine , chama alikuwa analipwa milion12 per month leo huko aliko moroco analipwa milion 48 , angebaki vipi????

Mnafikiria lakini mnachokisema ???
 
Hujui mpira shabiki maandazi wewe
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.

Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.

Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.

Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Mkuu nadhani huijui biashara ya mpira, kwa ofa aliyoipata ulitaka aiache, huo mshahara anaoupata wewe ungetaka abaki ungeulipa? Acheni kujifanya wajuaji.
 
Chama aliuzwa na mwamedi baada ya ile interview insta, kama vile kumkomoa... Kanjibai bhana,
 
Back
Top Bottom