BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.
Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.
Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.
Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.
Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.