Kumuweka ndugu Kwa upendeleo kwenye Taasisi ya umma unayoiongoza ni kukosa Maadili

CCM wamefanikiwa sana,Vijana wao wanaendelea kutufanya shamba la Bibi.kibaya mazuzu wa chini huku kwenye Serikali za mitaa na balozini wanajiona nao wapi kwenye system wakipewa elfu kumikumi.Kukwama kwetu kimaendeleo ni shauri ya family affair. Hata ripoti mbaya ikitoka kijana anahamishwa pengine,au kupumzishwa kidogo,Kisha anapewa kitengo kizito
Ndio utamaduni hata kwenye serikali na mfumo yake ya ajira, zabuni na kadhalika. Ila mwisho wao unakuja.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hata kama anazo Kuna namna Kuna conflict of interest akafanye sehemu ambayo wewe huna direct influence kwake
Mzeee

Ndio maana Kuna kitu kinaitwaga """SEPARATE ENTITIES """ Usilazimishe mtu kutenda kwa hisia Mimi siku zoteee nilizo wai kupewa TAGS sijawai kua BIASED.

My friend kwangu Mimi to be honest usitegemee nikupe connection uwe ndugu au rafiki Sheria ifuate mkondo ukibebwa BEBEKA.

Na ndio maana kwenye Ancient kingdoms za huko Korea na elsewhere in the world watawala walikua wanarisishana kutoka ROYAL FAMILY so na Mambo yalikua powaaa TU
 
Sisi siyo kingdom bahati nzuri, ni Republic
 
Mtei aliharibu sana kumuweka Mkwe
Tena aliharibu sana...Watanzania wengi tupo hivyo, kitu kikikupa faida binafsi unakibatiza jina zuri lakini kama si wewe basi kinakuwa shetani
 
Imagine Magufuli angeweka mkwe wake awe Waziri ofisi ya Rais😂😂
Yule jamaa mchengerwa alikuwa waziri kabla hata mama hajawa rais !ulitaka asimweke wakati jamaa ni mchapa kaZi?acha wivu wa kike
 
Mchengerwa hajawai kuwa Waziri,kapata uwaziri baada ya Mkwe kuwa Rais!
 
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.

Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.

Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.

Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.

Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Inaua uweledi
 
Mke wa Museveni ni waziri, huko Zanzibar watoto na wajukuu wa viongozi wa mapinduzi wengi wana nyadhifa kubwa serikalini na naona utamuduni huo umevuka bahati angalia watoto wa viongozi wa zamani wanavyo kwaa nyadhifa ,Mkapa,,Pinda in Kikwete,wale wa Kigogo wa Idodomya nk.
Hii ni Afrika yee
 
Huwa najiuliza ndugu yako akitia boko utaweza kumuwajibisha na kuhakikisha anapata adhabu stahiki na kunyooshwa kama mharibifu mwingine?

Kimsingi kama hilo hauwezi fanya then jua hauna sababu ya kuweka ndugu kwenye position yoyote.
 
Mchengerwa hajawai kuwa Waziri,kapata uwaziri baada ya Mkwe kuwa Rais!
Alikuwa utumishi mpaka watumishi wakawa wanatumia quotes zake kufarijiana nadhani kwenye 2019 hivi..
 
Back
Top Bottom