Kumuweka ndugu Kwa upendeleo kwenye Taasisi ya umma unayoiongoza ni kukosa Maadili

Hiyo kawaida kwa mwafrika wakiwa sehemu watajazana ndugu,jamaa,na marafiki

Ova
Tena lengo ni kula,sio kuleta ufanisi.
Fikiria Kiongozi anasema mle Kwa kamba zenu bila kuingiliana!
 
Unakumbuka BIMA enzi za mwaikambo ๐Ÿ˜„
Ofisi nzima unasikia ugonile ugonile ndaga....ndaga fijo ๐Ÿ˜„

Ova
Nakumbuka Jeshini pia,Mang'ana Mura,Poti mambo! Utafikiri Taasisi binafsi akina Afande Kilogi,Mwita,Marwa!
 
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.

Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.

Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.

Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.

Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Hili suala lipo tangu enzi na enzi, ukistaafu unaleta ndugu ili jina la ukoo liwepo kwenye system.
 
Maza kamweka mkwe wake
 
Hili suala lipo tangu enzi na enzi, ukistaafu unaleta ndugu ili jina la ukoo liwepo kwenye system.
CCM wamefanikiwa sana,Vijana wao wanaendelea kutufanya shamba la Bibi.kibaya mazuzu wa chini huku kwenye Serikali za mitaa na balozini wanajiona nao wapi kwenye system wakipewa elfu kumikumi.Kukwama kwetu kimaendeleo ni shauri ya family affair. Hata ripoti mbaya ikitoka kijana anahamishwa pengine,au kupumzishwa kidogo,Kisha anapewa kitengo kizito
 
Magufuli sehemu nyeti kama fedha,aliweka vibaka wake Ili akwapue Hela kiurahisi,
Kama aliweka vibaka inakuaje alifanya mambo makubwa sana yaliyoacha historia na bado kazi yake inaonekana. Je, hao wengine waliashindwa je?
 
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.

Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.

Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.

Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.

Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Kama mtu ana all the qualifications shida Iko wapi..

Kama vyeti vipo na job description Zina meet kila kitu hakuna shida..

Shida ni Kama wanawekwa watu wasio na VIGEZO na wasio kua na qualifications hapo sawa Ila Kama Wana sifa stahiki hakuna tatizo
 
Kibaya wanazidi kuua Elimu yetu Kwa Kila Waziri akija Anafanya mabadiliko,unakuwa kama wanafanya experiment.matokeo watu reasoning yao na utaifa hakuna na wanawaza issue za kuburudisha ,music bongo fleva na ,mipira
Mambo ya hovyo sn
 
Kama mtu ana all the qualifications shida Iko wapi..

Kama vyeti vipo na job description Zina meet kila kitu hakuna shida..

Shida ni Kama wanawekwa watu wasio na VIGEZO na wasio kua na qualifications hapo sawa Ila Kama Wana sifa stahiki hakuna tatizo
Hata kama anazo Kuna namna Kuna conflict of interest akafanye sehemu ambayo wewe huna direct influence kwake
 
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.

Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.

Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.

Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.

Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Mtei aliharibu sana kumuweka Mkwe
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom