Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Ndio utamaduni hata kwenye serikali na mfumo yake ya ajira, zabuni na kadhalika. Ila mwisho wao unakuja.CCM wamefanikiwa sana,Vijana wao wanaendelea kutufanya shamba la Bibi.kibaya mazuzu wa chini huku kwenye Serikali za mitaa na balozini wanajiona nao wapi kwenye system wakipewa elfu kumikumi.Kukwama kwetu kimaendeleo ni shauri ya family affair. Hata ripoti mbaya ikitoka kijana anahamishwa pengine,au kupumzishwa kidogo,Kisha anapewa kitengo kizito
MzeeeHata kama anazo Kuna namna Kuna conflict of interest akafanye sehemu ambayo wewe huna direct influence kwake
ila pia wa kanda ya ziwa wengi wamesomea majiEti wamewekanaaaaa🤣
Sisi siyo kingdom bahati nzuri, ni RepublicMzeee
Ndio maana Kuna kitu kinaitwaga """SEPARATE ENTITIES """ Usilazimishe mtu kutenda kwa hisia Mimi siku zoteee nilizo wai kupewa TAGS sijawai kua BIASED.
My friend kwangu Mimi to be honest usitegemee nikupe connection uwe ndugu au rafiki Sheria ifuate mkondo ukibebwa BEBEKA.
Na ndio maana kwenye Ancient kingdoms za huko Korea na elsewhere in the world watawala walikua wanarisishana kutoka ROYAL FAMILY so na Mambo yalikua powaaa TU
Tena aliharibu sana...Watanzania wengi tupo hivyo, kitu kikikupa faida binafsi unakibatiza jina zuri lakini kama si wewe basi kinakuwa shetaniMtei aliharibu sana kumuweka Mkwe
Viongozi wanaandaliwa mzee sio kuokota Kama DODOSisi siyo kingdom bahati nzuri, ni Republic
Unanijulisha au unanifundisha? Wewe kwanini usiandaliwe wawe kundi fulani? Nyie mtatuchelesha sana huku duniani katika ujima huuViongozi wanaandaliwa mzee sio kuokota Kama DODO
Yule jamaa mchengerwa alikuwa waziri kabla hata mama hajawa rais !ulitaka asimweke wakati jamaa ni mchapa kaZi?acha wivu wa kikeImagine Magufuli angeweka mkwe wake awe Waziri ofisi ya Rais😂😂
Mchengerwa hajawai kuwa Waziri,kapata uwaziri baada ya Mkwe kuwa Rais!Yule jamaa mchengerwa alikuwa waziri kabla hata mama hajawa rais !ulitaka asimweke wakati jamaa ni mchapa kaZi?acha wivu wa kike
Inaua uwelediViongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.
Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.
Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.
Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.
Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Mke wa Museveni ni waziri, huko Zanzibar watoto na wajukuu wa viongozi wa mapinduzi wengi wana nyadhifa kubwa serikalini na naona utamuduni huo umevuka bahati angalia watoto wa viongozi wa zamani wanavyo kwaa nyadhifa ,Mkapa,,Pinda in Kikwete,wale wa Kigogo wa Idodomya nk.Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.
Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.
Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au kazi za kifamilia.
Mwalimu Nyerere ndiye mwasisi wa ukabila na udugu,Akina Kikwete,Magufuli ndio alikufuru, Sasa Mama Kizimkaz amekopi na kupesti madesa.
Itungwe Sheria Kali ya kuzuia kuajiri ndugu au kabila lako Kwa hila, Haina tija zaidi ya kututia umaskini.
Alikuwa utumishi mpaka watumishi wakawa wanatumia quotes zake kufarijiana nadhani kwenye 2019 hivi..Mchengerwa hajawai kuwa Waziri,kapata uwaziri baada ya Mkwe kuwa Rais!