Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki.
Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili utukufu. Kuanzia jana watu wengi kwenye mitandao wamejikuta wanamtukuza shetani wakihusisha nguvu za giza katika kile kilichotokea Dodoma.
Jukumu letu Taifa la Mungu nikumshinda movu shetani kwa kumwonyesha Hana mamlaka yakuendelea kujiinua nakujizolea utukufu. Tumrudishe Francis aape upya, tumwoshe shetani kwamba tumebaini mbinu yake mbaya.
Aidha, hata tukimrejesha asiwe naibu waziri wa madini bali akakae kwenye michezo eneo alilobobea zaidi. Kumweka madini kwa uzoefu wake nikumweka karibu nakutumbuliwa Tena. Tumpe nafasi yuiponye nafsi yake na kumuaibisha ibilisi.