Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nijaribu kwako nione.😁😁😁😁😁
Utanivuta kwa kasi ya 5G hata kabla haujauwasha huo mshumaa🤣🤣🤣Ngoja nijaribu kwako nione.
🤣🤣🤣 Ngoja ijumaa ifike tuone.Utanivuta kwa kasi ya 5G hata kabla haujauwasha huo mshumaa🤣🤣🤣
Nasubiri kwa hamu nivutwe😊🤣🤣🤣 Ngoja ijumaa ifike tuone.
Mbona wanauziwa kwa bei kubwa namna hiyo.🤣 wakati watu wananunua utamu huko kwa alfu saba we unataka kufanya mambo yawe magumu hivyo!
ndo maana uti sugu haziishi!Mbona wanauziwa kwa bei kubwa namna hiyo.
Utamu bei elekezi ni buku tatu, maelewano hata buku mbili unapata.
Na kuna chimbo lipo la buku ila hilo kidogo linahitaji ujasili.
automatic kama hupendwi ni hupendwi tu! over!Muda umeandikwa hapo
Ni mweupe tu kila mshumaa na ranginyake huwa na maana yakeBasi kuna mwanamke atajaribu na wakati anajua fika hilo furushi halimpi hata mia 😹😹😹
Eehh vipi ukitumia mshumaa wa rangi nyingine haikubali? Nimeuliza kwa niaba ya rafiki yangu 😹
Ikifika mara ya 3 tu tayari ushafungwa kamba 😂Hapo kutoka nje kisha kuita mara 7 majirani watakupeleka mirembe😂
😂😂Hapo kutoka nje kisha kuita mara 7 majirani watakupeleka mirembe😂
Kazi kazi doctorKumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa
Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi.
Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo "mapenzi yako yote yaje kwangu" mara 3
Kazi hii ufanye usiku wa kuamkia ijumaa saa 6 na kuendelea ila hakikisha kabla ya asubuhi ya kweli haijaingia
weka mshumaa katika kitambaa cheupe kisha uwashe na uwe unauwaangalia halafu unasema yale unayotaka kwa mtu huyo na jinsi atakavyokuwa kuwa kwako, fanya hivyo nusu saa kisha lala
uache mshumaa huo uwake wenyewe mpaka uzime.
Kisha chukua mabaki ya mshumaa uyafunge kwenye hicho kitambaa cheupe ulichotumia na uyahifadhi mahali popote ambapo mtu hatayaona, kisha toka nje ita jina la mtu huyo mara 7 ukielekea kaskazini baada ya hapo rudi ndani bila kuangalia nyuma. Endelea na ratiba zako za siku ukiwa na imani ya kupata majibu