Kumvuta mpenzi kwa kutumia mshumaa

Kumvuta mpenzi kwa kutumia mshumaa

🤣 wakati watu wananunua utamu huko kwa alfu saba we unataka kufanya mambo yawe magumu hivyo!
Mbona wanauziwa kwa bei kubwa namna hiyo.
Utamu bei elekezi ni buku tatu, maelewano hata buku mbili unapata.

Na kuna chimbo lipo la buku ila hilo kidogo linahitaji ujasili.
 
Basi kuna mwanamke atajaribu na wakati anajua fika hilo furushi halimpi hata mia 😹😹😹

Eehh vipi ukitumia mshumaa wa rangi nyingine haikubali? Nimeuliza kwa niaba ya rafiki yangu 😹
 
Basi kuna mwanamke atajaribu na wakati anajua fika hilo furushi halimpi hata mia 😹😹😹

Eehh vipi ukitumia mshumaa wa rangi nyingine haikubali? Nimeuliza kwa niaba ya rafiki yangu 😹
Ni mweupe tu kila mshumaa na ranginyake huwa na maana yake
 
Dah aisee shakira wangu nshapata njia ya kukunasa lazma niku witchdoctor
 
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa

Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi.

Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo "mapenzi yako yote yaje kwangu" mara 3

Kazi hii ufanye usiku wa kuamkia ijumaa saa 6 na kuendelea ila hakikisha kabla ya asubuhi ya kweli haijaingia
weka mshumaa katika kitambaa cheupe kisha uwashe na uwe unauwaangalia halafu unasema yale unayotaka kwa mtu huyo na jinsi atakavyokuwa kuwa kwako, fanya hivyo nusu saa kisha lala
uache mshumaa huo uwake wenyewe mpaka uzime.

Kisha chukua mabaki ya mshumaa uyafunge kwenye hicho kitambaa cheupe ulichotumia na uyahifadhi mahali popote ambapo mtu hatayaona, kisha toka nje ita jina la mtu huyo mara 7 ukielekea kaskazini baada ya hapo rudi ndani bila kuangalia nyuma. Endelea na ratiba zako za siku ukiwa na imani ya kupata majibu
Kazi kazi doctor
 
Back
Top Bottom