Kumwacha ndio suluhisho?

Kumwacha ndio suluhisho?

...anachofanya ni kuitumia nafasi yake ya uanauke na kukuachia wewe nafasi yako ya uanaume, yaani umuongoze kwa kila kitu, kazi ambayo unaonyesha imeanza kukutoa jasho.

Isitoshe tofautisha tamaa yako ya kuifikia mipango yako ya maisha na mahusiano yako ya kimapenzi....

...haswa!

kwa wale ndugu zetu ambao hamjaoa, hili ndilo jambo mtalokumbana kila siku maishani mwenu. Wanawake wamejaaliwa uwezo mkubwa wa kujishusha mbele ya waume zao.

Unfortunately, wanaume wengi tunakuwa 'lost in translation' mpaka pale unapomchokonoa mkeo naye kulazimika kukuonyesha makucha yake, ...hapo ndio utasikia Ooh,... "mke wangu jeuri!", "hanisikilizi, anajiamulia mambo yake!", "anajitia mjuaji, msomi" nk
 
mkuu hata kama umemfumania uamue tu kumezea, kwangu hapana.

...naaam, kuna mazingira ambayo yanakulazimu umezee tu, hasa pale ambapo hata ukimuacha bado halisuluhishi matatizo yenu.
 
Unajua mdau anashangaza sana..mimi sijawahi sikia mtu kamuacha mwanamke kwa sababu ya kusahau kutuma maombi ya kazi..Maybe kuna jengine ambalo halisemi au I'm the dumbest person in this planet..
 
Itei Itei life is too short, ukimuacha huyo mdada na kurukia kwa mwingine utalamba garasa maana hakuna aliye perfect. Huo uslow wake ndio wewe unapoingia kumpa support remember wadada are weak somehow so it is our duty to fill the gaps on their weakness. Opps and they always cover our weaknessess too. That is how God Almighty created us. Ukitafuta perfect hutampata labda umuumbe mwenyewe. Be a perfect one to get a perfect one.
 
wana jamvi tusaidiane hii scenario,nimekua nina mpenzi kwa muda wa miaka 2 sasa huu waenda 3,katika muda wote huo nimekua nikiona mapungufu mengi lakini mengine nimeyamezea na kuyavumilia kwani ndio kwanza tulikua katika take off now sasa ndo tuko highway kuelekea kule kwa sahihi yaani ndoa.
Sasa kinachonitisha kati yangu na huyu mdada ni kua hayuko aggressive katika mambo yaani amepoa sana.Yeye kila kitu kinachohitaji effort anakua hawezi au sio makini.Example baada ya kumaliza shule yake amekua katika mchakato wa kusaka ajira lakini cha kushangaza ni kua uombaji wake huambatana na makosa ya hapa na pale mpaka binafsi niamue aidha kuedit au kutuma cv yake kwa kampuni husika.Kwa sasa anafanya kazi katika kampuni moja ambayo kila kukicha analalamika hawajampa ajira nimekua nikijitahidi kumtumia matangazo ya kazi ili awe anaomba lakini amekua haombi hizo kazi kwa kisingizio cha kua amesahau au eti ana mambo mengi kiasi cha kushindwa kuapply.
Kilichoniudhi zaidi ni pale alipofikia hatua ya kupoteza cheti chake cha kuzaliwa wakati ni muhimu sana katika maombi ya fursa mbali mbali.
MBAYA ZAIDI haonyeshi kuappreciate kile nikifanyacho ili aweze kupata kazi nzuri anadai siko supportive to her while matangazo yote mie ndo nayatafuta,kazi zingine mie ndo ninaziomba kwa niaba yake,pia mie ndo natuma appliation zote kwa njia ya posta etc.
JE HUYU NI MWANAMKE ANAEFAA KWA MTU AMBAE NI AGGRESSIVE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU?
Kwani haeleweki kabisa kiperformance nikimaanisha kua kila utakachomwagiza afanye then wasi wasi hunijia kama atafanya kwa usahihi kama inavyopaswa,kwa mfano unamwagiza aombe kazi anaweza tuma cv na covering letter akasahau vyeti.
Je ni sahihi kama nikijitoa katika maisha yake?as tukiachana kwani binafsi ni mtu ambae nahitaji mwanamke ambae ni mpiganaji kweli sio ambae kila kitu anahitaji monitoring au usimamizi.
Wadau nikwamueni/.

Kama matatizo yote hayo umeyaona, unahitaji ushauri gani tena? Au hayo matatizo ni mtu kakusimulia? Kama umeweza ku-analyze mwenyewe na kuona ni mzigo, sasa sie tukushauri nini tena mjomba, au unatafuta support kabla hujamwaga?

1. Mjomba kuoa sio kuanzisha kampuni ambapo uzalishaji ndio kiungo cha ajira na wewe; kuoa ni kuunganisha udhaifu wako na wa mwenzako. Strength yako ina-compensate udhaifu wa mwenzako and vice versa.
2. Mjomba kuoa sio kitu za kukufanya uwe busy, waliotutangulia wanasema kuoa/mapenzi kwa ujumla ni kwa ajili ya watu walio idle.
3. Mjomba ukitaka support ya kila kitu duniani utaipata, hata ukisema unataka kujiua wapo watakaokuunga mkono ili ukapumzike salama

with many jokes anyway....tehe tehe...!
 
Itei Huo uslow wake ndio wewe unapoingia kumpa support remember wadada are weak somehow so it is our duty to fill the gaps on their weakness. Opps and they always cover our weaknessess too. .

Kuna wakaka ambao nao ni mizigo isiyobebeka na unashangaa nani kamuoa mwingine! Kama ulivyosema kuoana ni kujaziana pale penye upungufu na pengine ndivyo Mungu anavyotaka.Huwezi kukuta wote wako strong au weak maana ingekuwa balaa.All in all kuna minimums ambazo mtu anategemea.Huenda Huyu Itei naye ana weaknesses kibao ambazo huyo bibie anam cover up.The bottom line is - muoaji anapaswa kujua anataka nini.
 
Itei Itei life is too short, ukimuacha huyo mdada na kurukia kwa mwingine utalamba garasa maana hakuna aliye perfect. Huo uslow wake ndio wewe unapoingia kumpa support remember wadada are weak somehow so it is our duty to fill the gaps on their weakness. Opps and they always cover our weaknessess too. That is how God Almighty created us. Ukitafuta perfect hutampata labda umuumbe mwenyewe. Be a perfect one to get a perfect one.

umemweleza ukweli yeye anawezekana ndo ana matatizo au ni controller , kwa hiyo yale anayoamuru yasipofanywa kwa wakati anaona mtu yuko slow binadamu tumeumbwa tofauti.
 
sasa iteitei lya kitee,
pamoja na upungufu wooote huo,UMEONA MAPUNGUFU YOYOTE KWENYE HUDUMA TAKATIFU?kwamba mkiwa tarbenacle ana mapungufu pia?
 
wana jamvi tusaidiane hii scenario,nimekua nina mpenzi kwa muda wa miaka 2 sasa huu waenda 3,katika muda wote huo nimekua nikiona mapungufu mengi lakini mengine nimeyamezea na kuyavumilia kwani ndio kwanza tulikua katika take off now sasa ndo tuko highway kuelekea kule kwa sahihi yaani ndoa.
Sasa kinachonitisha kati yangu na huyu mdada ni kua hayuko aggressive katika mambo yaani amepoa sana.Yeye kila kitu kinachohitaji effort anakua hawezi au sio makini.Example baada ya kumaliza shule yake amekua katika mchakato wa kusaka ajira lakini cha kushangaza ni kua uombaji wake huambatana na makosa ya hapa na pale mpaka binafsi niamue aidha kuedit au kutuma cv yake kwa kampuni husika.Kwa sasa anafanya kazi katika kampuni moja ambayo kila kukicha analalamika hawajampa ajira nimekua nikijitahidi kumtumia matangazo ya kazi ili awe anaomba lakini amekua haombi hizo kazi kwa kisingizio cha kua amesahau au eti ana mambo mengi kiasi cha kushindwa kuapply.
Kilichoniudhi zaidi ni pale alipofikia hatua ya kupoteza cheti chake cha kuzaliwa wakati ni muhimu sana katika maombi ya fursa mbali mbali.
MBAYA ZAIDI haonyeshi kuappreciate kile nikifanyacho ili aweze kupata kazi nzuri anadai siko supportive to her while matangazo yote mie ndo nayatafuta,kazi zingine mie ndo ninaziomba kwa niaba yake,pia mie ndo natuma appliation zote kwa njia ya posta etc.
JE HUYU NI MWANAMKE ANAEFAA KWA MTU AMBAE NI AGGRESSIVE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU?
Kwani haeleweki kabisa kiperformance nikimaanisha kua kila utakachomwagiza afanye then wasi wasi hunijia kama atafanya kwa usahihi kama inavyopaswa,kwa mfano unamwagiza aombe kazi anaweza tuma cv na covering letter akasahau vyeti.
Je ni sahihi kama nikijitoa katika maisha yake?as tukiachana kwani binafsi ni mtu ambae nahitaji mwanamke ambae ni mpiganaji kweli sio ambae kila kitu anahitaji monitoring au usimamizi.
Wadau nikwamueni/.

Hapa kwenye red nimecheka kidogo japo sio kitu cha kuchekesha.
Ngoja nikucharge kwanza
1.Wewe bado hujajua maana ya kupenda
2.Bado hujapenda
3.Unaelement za ubinafsi kimapenzi
4.Kwamatarajio yako unaweza usifanikiwa kumpata Miss nice lady
Usikwepe majukumu bwana kama mtu umempenda kweli huta mhesabia mapungufu yake badala ya kumsaidia kwa upendo na kuongoza kwa mfano.Usilazimishe kumbadili mtu au mtu afuate kama vile wewe ulivyo hayo sio mapenzi ya kweli.

USHAURI:
Kama kweli unampenda msaidie kwa upole na bila kunung'unika,atajifunza kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom