Kumwambia mpenzi wako nakupenda kila unapoongea nae kupitia simu or hata mkionana ni vibaya?

Inategemea mmeishi na kukulia katika utamaduni gani Yaani Kama unasema uwe una-mean it na sio bendera fuata upepo au kwa sababu umesoma kwenye Internet au kuona kwenye TV. Kama unaiga kuna siku nguvu ya soda itaisha.
 
If you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.

Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.
 
Ahsante sana Nyumba Kubwa. Maneno yako yametulia na yamejaa hekima na busara tele ndiyo maana ukapewa heshima ya kuwa Nyumba Kubwa maana unastahili.

Last edited by a moderator:
If you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.

Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.

Hua naungana nawee katika mengi saaana...
nashangaa finally imefika ambapo nimepingana nawe...
For me to mean it, nashindwa sema mara kwa mara...
Nikisema i MEAN it... na ni nadra hasa kama nampenda kweli...
 
Damn!!! You just made my day
 
Mumeo ana bahati sana. Hivi sampuli kama zako zinapatikana wapi?
 
What are you trying to say. Unaishi na mtu usompenda?? Au mapenzi yana siku na siku?? Kwa maana kuwa sometimes you love him sometimes you hate him and sometimes you feel indifferent?
Kwa mimi mume wangu nampenda unless unambie kuna watu wanaishi na wenza wasiowapenda. Kwa kuwa ndoa yetu iko based kwenye upendo ( hasa kwa upande wangu maana siwezi kumsemea yeye) kwa nini nisimwambie nampenda? Na kwa nini nikisema hivyo kuwe na doubt kama ni ukweli au la??

Nadhani Asha what you are doing ni ku hold back your feelings. Sidhani kama kumpenda mtu kuna msimu. Jaribu ku evaluate kama kweli hujisikii kutumia hilo neno often kwa kuwa u don't mean it au unaona utampa kichwa jamaa kuona unampenda sana

Hua naungana nawee katika mengi saaana...
nashangaa finally imefika ambapo nimepingana nawe...
For me to mean it, nashindwa sema mara kwa mara...
Nikisema i MEAN it... na ni nadra hasa kama nampenda kweli...
 
Mumeo ana bahati sana. Hivi sampuli kama zako zinapatikana wapi?[/QUOTE]

Umeona eeh! NN...labda ana mdogo wake (dada) mwenye tabia kama zake....kama bado njemba hazijachangamka basi unaweza kabisa kufanya hivyo 🙂
 
What are you trying to say. Unaishi na mtu usompenda?? Au mapenzi yana siku na siku?? Kwa maana kuwa sometimes you love him sometimes you hate him and sometimes you feel indifferent?
Kwa mimi mume wangu nampenda unless unambie kuna watu wanaishi na wenza wasiowapenda. Kwa kuwa ndoa yetu iko based kwenye upendo ( hasa kwa upande wangu maana siwezi kumsemea yeye) kwa nini nisimwambie nampenda? Na kwa nini nikisema hivyo kuwe na doubt kama ni ukweli au la??

Nadhani Asha what you are doing ni ku hold back your feelings. Sidhani kama kumpenda mtu kuna msimu. Jaribu ku evaluate kama kweli hujisikii kutumia hilo neno often kwa kuwa u don't mean it au unaona utampa kichwa jamaa kuona unampenda sana

NK sio hivo... I do love... na nikipenda napenda moja kwa moja sina nusu nusu na my whole world ina revolve around nimpendae... tatizo ni kwamba one of my weakness (na natambua hilo for wale i love huniambia hivo... thou najaribu zaidi sasa...)... Sina ile ya kusema niseme nakupenda kila saa/mara thou tayari nakupenda. Suala ni kwamba whenever nikisikia kusema kua nakupenda I say it bila shida kabisa... ila huyo nimpendae asitarajie nitamwambia kwa dose ya asubuhi-mchana-jioni.... Na wala sipendi anipendae aniambie kila siku ya Mungu... aniambie ndio but not to the extent ya kukithiri... Thus whenever i say it i mean it... sisemi out of obligation eti tu asikie nasema... NO...
 
Back
Top Bottom