Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.
Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.
nyumba kubwa unachoongea kina maana sana
i wish wanawake wenzio wangeelewa hivyo
If you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.
Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.
Damn!!! You just made my dayIf you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.
Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.
Damn!!! You just made my day
If you don't tell him/her someone else will. Mimi natumia hilo neno as often as I can. Hata akilisikia kwingine halitakuwa jipya. SHauri yenu. Ndio unasikia watu wanagombana na kuanza kuulizana mara ya mwisho lini umenambia unanipenda? Acting alone haitoshi, say it. Tena kama ni mmeo au mkeo waogopa nini?? Hata akiona unampenda sana kwani kuna ubaya gani? Mbona mimi sisemi tu "nakupenda" bali nasema "nakupenda sana". Na ninaona jinsi hayo maneno yanavyojaza tabasamu usoni mwa jamaa. Hayo maneno ni mepesi lakini yana cost kama mnaona ugwadu kuyatumia.
Mfano kuna aina fulani ya watu ambao hawapendi kabisa kuonyesha feelings. Unaweza sema jamaa au mdada ananichukia kumbe ndiyo staili yake ya kupenda. Sipendi watu design hii.
Hua naungana nawee katika mengi saaana...
nashangaa finally imefika ambapo nimepingana nawe...
For me to mean it, nashindwa sema mara kwa mara...
Nikisema i MEAN it... na ni nadra hasa kama nampenda kweli...
Mumeo ana bahati sana. Hivi sampuli kama zako zinapatikana wapi?[/QUOTE]
Umeona eeh! NN...labda ana mdogo wake (dada) mwenye tabia kama zake....kama bado njemba hazijachangamka basi unaweza kabisa kufanya hivyo 🙂
What are you trying to say. Unaishi na mtu usompenda?? Au mapenzi yana siku na siku?? Kwa maana kuwa sometimes you love him sometimes you hate him and sometimes you feel indifferent?
Kwa mimi mume wangu nampenda unless unambie kuna watu wanaishi na wenza wasiowapenda. Kwa kuwa ndoa yetu iko based kwenye upendo ( hasa kwa upande wangu maana siwezi kumsemea yeye) kwa nini nisimwambie nampenda? Na kwa nini nikisema hivyo kuwe na doubt kama ni ukweli au la??
Nadhani Asha what you are doing ni ku hold back your feelings. Sidhani kama kumpenda mtu kuna msimu. Jaribu ku evaluate kama kweli hujisikii kutumia hilo neno often kwa kuwa u don't mean it au unaona utampa kichwa jamaa kuona unampenda sana