Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Kuna baadhi ya familia mwanaume akishindwa baadhi ya majukumu yake hasa ya kipato ni kawaida kusikia mume akimwambia mkewe 'fanya maarifa' au ufanye maarifa basi'

Hivi hili hasa linaamaanisha nini?

Maarifa gani ambayo mwanaume akishindwa, mwanamke ndo ataweza?

Halafu unakuta mwanamke 'anafanya kweli maarifa' na maisha yanakwenda...

Sasa 'haya maarifa' ya wanawake ni yapi?
 
hio hua nia kauli ya kishenzi wala msizunguuuuuuuuuke oh hv hv yaani ukimuambia mke wako hivo unamaanisha akajibebishe kwa mwanaume yeyote ili apate msaasa alete .

ndio maana hio acheni kung'ata ng'ata maneno...
 
Back
Top Bottom