Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

Mkuu suala la mwandiko kwa wabongo ni kizungumkuti, kesho ntamtimbia kwake nimsikilize anajishaua vipi. Kwa leo am done
Kwa huu mwandiko wako huu
Juzi nilimpatia over 200k ya matumizi na leo tena nimtumie zingine? Never
Sio wa kutuma 200k kwa mtoto wa miaka 20 kwaajil ya matumizi. Labda kama unamaanisha 20k au 2k
 
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Bro nisaidie namba yake nimpe ushauri wa kina.
 
Back
Top Bottom