King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ana tatizo la afya ya akili huyo.....Kusikiliza nyimbo anaona dhambi wakati huo huo anazini na anakunywa mapombe ,msengenyaji na mfitini juu.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Picha yake tafàdhali akishuka!Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Hata kwa Nuhu ilikuwa hivyo hivyo watu walimcheka na kumdharau na kumkebehi, Unakumbuka ya Lutu ilikuwa hivyo hivyo watu wakataka kuwalawiti na malaikaMwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Lini na wapi thibitisha hizo sio hadithi ni matukio ya kweli.Hata kwa Nuhu ilikuwa hivyo hivyo watu walimcheka na kumdharau na kumkebehi, Unakumbuka ya Lutu ilikuwa hivyo hivyo watu wakataka kuwalawiti na malaika
Kuonyesha❌
Kuonesha✅
Huyo hata baiskeli hanaMwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Wangejielewa watu wa usafiri wangeweka free wifi inatosha na Kila mtu anasikiliza na kuangalia anachohitaji, anayejiskia kulala alale kujipumzisha bila bughudha yoyote hivyo yaan, lkn nani mwelewa? Wote wameigana.
Mwanzo 19:5-8Lini na wapi thibitisha hizo sio hadithi ni matukio ya kweli.
Hili jambo tukiithamiria linawezekana maana makampuni mengi ya mabasi wamiliki tunaswali nao tunaweza kuanza kwa kuwasisitizia baada ya kila swala waspige hzo nyimbo kwenye mabassi yao nasiyo kufanya uharibifu wakuzing'oa vishkiz mkuuNingeshuhudia huo mkasa huyo mwamba ningempa lift mpaka aendako.Ni shujaa halisi wa mambo ya kijinga yanayoendelea nchini.
Mabasi yarudi kama zamani,Yang'olewe vishikizo vyote vya skrini za vidio na maspika.Kila mtua anavyo kwake atafungua akipendacho.
Maudhui na mantiki yanatakiwa yazingatiwe ili mjadala uonekane ni wa watu ambao walau wana upeo fulani wa usomi. Ukiona mjadala umechangamka halafu anatokea mtu kusahihisha typing error ambazo ni kawaida kujitokeza, huyo atawatoa kwenye maudhui na huenda hoja ipo nje ya upeo wakeKivip mkuu?
Kuonyesha❌
Kuonesha✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ndo ingekuwa hivyo kwenye mabasi pia kwa mtazamo wanguHiyo ni kwenye ndege tu. Tena zile za kimataifa/masafa
Sungura huwa anaongea na fisi ni kweli kabisa uthibitisho huo hapoMwanzo 19:5-8
[5]Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.
[6]Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.
[7]Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.
[8]Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu.
Na wewe umeingizwa mkenge.Mzee Kifimbo Cheza, katika ubora wako.
Vijana wa siku hizi hawamjui Mzee Kifimbo Cheza wa enzi hizo
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Kwa hana usafiri mbadala, basi ajitahidi awe na smartphone na earphones Ili akiingia kwenye usafi wa umma awe anavaa earphone zake ana connect na simu yake kisha aweke anachotaka, mawaidha au Qaswida.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Mwamba yupo sahihi , na hayo maneno yote yanatumika kwenye kiswahili , katika hali tofauti za muundo wa sentensi.
Kuonesha =hutumika katika hali ya kuona kitu kwa njia ya moja kwa moja .
Kuonyesha=ni neno pana zaidi katika kufanya jambo liwe wazi zaidi.
ephen_