Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Ktk dunia ya sasa hivi labda uishi kwenye dunia ya peke yako, hata Rutu na Nuhu walikiwa wanaishi na watu wadhambi sana ila bado wao wakaamua kubaki kwenye imani yao na si kwamba walikuwa hawa changamani hapana,ila still walibaki kwenye imani yao. Yesu alikuwa anakula na kunywa pamoja na wadhambi ila still alibaki kwenye msimamo wa imani yake ,huku akitumia hiyo nafasi kuhubiri Injili.

So tusijione bora au wenye haki mbele za Mungu, tujifunze kuwa wavumilivu kwenye maswala haya ya kiimani na huku tukihakikishe maswala ya dunia haya kutoi kwenye reli yako ya kiimani.
 
Na najua kwamba asilimia kubwa ya watu wanaompinga ni watu wa dini ila wakiwa kwny dini zao ni watakatifu, pia kusikiliza nyimbo hizo ni kukaririshwa ujinga, mara jibebe, mara kwkwi, nyegenyegezi na ujinga nyinginezo.
Hawa Wana asili ya dini hawana dini yenyewe, wangekuwa na dini wasingemsema vibaya Bali wangemwelekeza akataze vp
 
Kama amesema mtaona nashauri mshuke kwenye hiyo gari huenda katega bomu 😊
 
Hao lutu na nuhu walikaa kimya? Umesema walihubiri ni sawa, na ndo alichofanya huyu jamaa, kuhubur ni Ima uamrishe jambo jema au ukataze jambo ovu.
 
Mpumbavu huyo apigwe,,,, kama ana imani zake si anununue usafiri binafsi,,,,yan anataka kwenye usafiri wa umma waweke mahubiri/mawaidha/kwaya/kaswida ??? Jinga kabisa ,,,
 
Huyo lazima atakuwa mwislamu, hawa watu n kama vile hawapo vzr kichwani
 
Hao lutu na nuhu walikaa kimya? Umesema walihubiri ni sawa, na ndo alichofanya huyu jamaa, kuhubur ni Ima uamrishe jambo jema au ukataze jambo ovu.
Sasa hiyo Yesu mwenyewe alikuwa anakaa na wadhambi? Unaielewa vipi hii line........? Nuhu na Rutu wao hawakujitenga bali waliendelea kuishi kwenye imani na misimamo ya Kimungu. Tukubali jamii yetu imeharibika,kama sio kwenye bus basi mtaani kwako unapo ishi au hata kwenye shughuli zako cha msingi shikilia imani yako.Maana kama ni hivyo labda akaishi porini na yote kwa yote hayupo msafi mbele za Mungu hilo hata Mungu analijua na ndio maana akaweka toba au vipindi hivyi vya Kwaresma,Radhani au hata mifungo binafsi unafikiri ipo kwa ajili gani?. Tuishi kwa kukamilishana kiroho na si kujiona bora.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Ajitahidi asipande magari maana ni usafiri wa kidunia atembee kwa miguu maana ndiyo usafiri aliopewa na mnyazi
 
Nakuelewa vizuri ila umeshindwa kutofautisha, hakujitenga na watu mda gani? Wanajichanganya na watu kwenye mikusanyiko na shughuli za kawaida, kama huyo jamaa alivyojichanganya kwenye usafiri, na wanajitenga pale maovu yanapofanywa na kuyakemea pia.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Ni mzee wa saba?
 
Ila kwa miziki na kelele kwenye public transport ni ushamba sana, na kuna watu wanafurahia sana kelele
Iwe muuza sumu ya Panya, mitumba, wao ni kufurahia tu
Ustaarabu ni sifuri kwenye nchi masikini zisizojali utu
Ni kawaida kukuta kelele na watu wakiona sawa tu
Huyo jamaa wala asingeongea angeshuka tu akapanda Taxi
 
Gujamaa gunakosoa kweli kweli yaani ukitaka kuguudhi basi andika habari yoyote alafu ukosee herufi .

Ngoja nimkorofishe uone .

Kaka Interlacustrine R nambiye burother ,uko pande zipi sasa ivi kaka mukubwa?
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Kuna mtu huku mtaani kwetu alisema hazungumzi na yeyote ambaye hajaokoka. Naona anafanana na huyo kiitikadi😀
 
Sasa Kwanini na nyie mpige nyimbo za kidunia duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…