joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ktk dunia ya sasa hivi labda uishi kwenye dunia ya peke yako, hata Rutu na Nuhu walikiwa wanaishi na watu wadhambi sana ila bado wao wakaamua kubaki kwenye imani yao na si kwamba walikuwa hawa changamani hapana,ila still walibaki kwenye imani yao. Yesu alikuwa anakula na kunywa pamoja na wadhambi ila still alibaki kwenye msimamo wa imani yake ,huku akitumia hiyo nafasi kuhubiri Injili.
So tusijione bora au wenye haki mbele za Mungu, tujifunze kuwa wavumilivu kwenye maswala haya ya kiimani na huku tukihakikishe maswala ya dunia haya kutoi kwenye reli yako ya kiimani.
So tusijione bora au wenye haki mbele za Mungu, tujifunze kuwa wavumilivu kwenye maswala haya ya kiimani na huku tukihakikishe maswala ya dunia haya kutoi kwenye reli yako ya kiimani.