Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaoishi maisha ya mungu ni wachache hivyo Lazima aonekane kituko, lakn gari hiyohiyo, itokee ajali au kutekwa utasikia Eeh Mungu tusaidie, lkn huyo Mungu hataki vitu flani acheni, hamsikii hiyo ndiyo Dunia Ilivyo, watu wanaomcha Mungu hawafurahii mziki wa Dunia pia Mungu hapendi, wote waliomzomea hawataki hayo mambo ya mungu huo ndo ukweli ukubali au ukatae Hali iko hivyoMwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
CC Malaria 2Wanakuwaga wajinga wajinga sana,. Kama yule ambaye alisema jana eti Lissu anakunywa maji hadharani sijui nini
Nyimbo zote ni za kidunia, ziwe gospel, kaswida, hip-hop, bongofleva... Hakuna nyimbo iliyotoka mbinguni...Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Ningeshuhudia huo mkasa huyo mwamba ningempa lift mpaka aendako.Ni shujaa halisi wa mambo ya kijinga yanayoendelea nchini.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Basi gani hilo na linatola wapi kwenda wapi?Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Mjinga sana huyo. Tofauti yake na Malaria 2 ni hasi..!!Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Miongozo ya kijinga hatunaga ushirika nayo..!!! Ukiwa mjinga, haijalishi wa dini au imani gani, ni mjinga tu..!!Subiri wanakuja wakristo kukupa muongozo