Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Watu wanaoishi maisha ya mungu ni wachache hivyo Lazima aonekane kituko, lakn gari hiyohiyo, itokee ajali au kutekwa utasikia Eeh Mungu tusaidie, lkn huyo Mungu hataki vitu flani acheni, hamsikii hiyo ndiyo Dunia Ilivyo, watu wanaomcha Mungu hawafurahii mziki wa Dunia pia Mungu hapendi, wote waliomzomea hawataki hayo mambo ya mungu huo ndo ukweli ukubali au ukatae Hali iko hivyo
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Nyimbo zote ni za kidunia, ziwe gospel, kaswida, hip-hop, bongofleva... Hakuna nyimbo iliyotoka mbinguni...
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Ningeshuhudia huo mkasa huyo mwamba ningempa lift mpaka aendako.Ni shujaa halisi wa mambo ya kijinga yanayoendelea nchini.
Mabasi yarudi kama zamani,Yang'olewe vishikizo vyote vya skrini za vidio na maspika.Kila mtua anavyo kwake atafungua akipendacho.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Basi gani hilo na linatola wapi kwenda wapi?

Weka japo picha, tuanzie hapa!!

Au la ni hadithi za kusadidkila
 
Back
Top Bottom