Kuna aina tatu ya wanawake wanaoomba hela

Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..

Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..

Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
Hata wanaume huwapa wanawake pesa ili

Mosi. Ili watatue shida zao
Pili. ili kuwakomoa (anaomba nyingi anapewa kidogo)
Tatu. ili kuwapima anaomba kidogo anapewa nyingi

Pia wanaume huwanyima wa ili
Mosi. Ili waendelee kuteseka (wajifunze kutokuwa tegemezi)
Pili. Kuwakomoa (hii huwahusu zaidi ombaomba)
Tatu. Ili kuwapima (kama ana reaction gani akinyimwa)
 
Acheni ubahili dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…