Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Nakuunga mkono asilimia 100. Mimi napitia hali unayopitia wewe na mlokole wangu.
Mlokole wangu ndie sababu ya mimi kuwa na tabia nilizonazo leo(michepuko na ulevi wa kurudi nyumbani usiku wa manane)
Dini ikifika kwa mpumbavu asie na kiasi ni majanga
 
Aisee wakwako na wakwangu tabia zinafanana. Hapo hajakwenda kwenye mkesha na kukuacha na upwiru[emoji16]
 
Yap. Hata mimi nimefuata hii approach
 
Kwa hii baridi ya huku mikoani..hutakiwi kufukuza mke unless kwa replacement. Quickly recovering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…