Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.

Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.

Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.

Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.

Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.

Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.

Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.

Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.

Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.

Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Nakuunga mkono asilimia 100. Mimi napitia hali unayopitia wewe na mlokole wangu.
Mlokole wangu ndie sababu ya mimi kuwa na tabia nilizonazo leo(michepuko na ulevi wa kurudi nyumbani usiku wa manane)
Dini ikifika kwa mpumbavu asie na kiasi ni majanga
 
Nakubaliana na wewe kwamba kuna ukristo ambao ni ushetani kwa uthibitisho. Mwenza wangu anakwenda kanisani kila siku kuanzia Jumamosi mpaka Ijumaa, mafunzo anayokwenda kuyapata huko anayajua yeye lakini tangu ameanza hizo mambo kazidi kuwa kama mwehu. Muda wote na notebooks anasoma hayo wanayofundishwa huko kiasi hadi inafikia stage mtoto anataka kujisaidia anadiriki kuniambia nimsaidie kumpeleka kujisaidia na nikisema nenda kampeleke basi ni ugomvi na anafika kumwambia mtoto jisaidie hapo hapo nikimaliza kazi zangu nitazoa. Heshima imeenda yani anaweza kuniambia chochote anachojiskia bila chembe ya aibu. Kwenda huko kanisani haitaji ruhusa kutoka kwangu ila anajiamulia mwenyewe. Kinachonifanya niamini ni huko kanisani, kuna mmama jirani wanasali kanisa moja, kila akirudi atakaa nae waongee yaliyotokea huko. Yani maandamano ya kanisa yeye humtoi lazima awepo kiufupi ni kero. Kama umempata mchumba wako kanisani na mnapendana basi endelea nae lakini kama upo single basi sishauri uwe na mwanamke anaejifanya anaipenda dini kupita kiasi. Utakuja kujuta baadae mana hawa ni watu wanaoongoza kutokujali mahusiano yao kwa kufatilia dini. Haoni hatari kukukosea heshima eti kwa sababu anadefend mchungaji au neno la mchungaji
Aisee wakwako na wakwangu tabia zinafanana. Hapo hajakwenda kwenye mkesha na kukuacha na upwiru[emoji16]
 
Mpige Pini
Kama wewe ndio Sponsor wa Mradi wa Kuku, mtoe kabisa kwenye equation ya Biashara, akatafute huko anakojua ndio apeleke Kanisani.
Mimi nimefanikiwa kummshikisha adabu Mwanamke Mlokole, hatokaa ashike Pesa yangu Milele, Vitu vyote nanunua ndani, yeye atajijua Mwenyewe (Anafanya kazi)
Hawezi kuchukua chochote cha ndani Maana Mtiti wake na Kichapo ataenda kuhadithia Kanisani kwao
Muhimu zaidi, tafuta Mwanamke Mwingine wa kukusahaulisha Kero za Mlokole
Yap. Hata mimi nimefuata hii approach
 
Kwa hii baridi ya huku mikoani..hutakiwi kufukuza mke unless kwa replacement. Quickly recovering.
 
Back
Top Bottom