Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hula kwa kupitia wanadamu. pesa unayotoa Mungu huwa anaitumia kwa kutumia watu kwenye kazi zake. watumishi wa Mungu wana familia, wanasomesha watoto, wanahitaji kula, wanasafiri, wanaendesha magari hivyo wanahitaji mafuta na kila kitu. Mungu aliamuru walawi (makuhandi) wasifanye kazi zingine ila za ukuhani tu na wengine watoe fungu la kumi ili uwe kama ni ujira wao. haijaanza leo, tangu enzi za ibrahim alipokutana na Melchizedek fungu la kumbi lilitolewa, ni agizo la Mungu. wewe sio mkristo na kama mkristo huwa husomi Biblia ndio maana unaona hili ni jambo la ajabu. pia, hata kama wewe ni mkristo, huko uliko huwa hufundishwi inavyostahili, kwamba hadi leo haujui kuwa fungu la kumi lilitolewa tangu enzi za ibrahim, unaenda church kufanya nini sasa kama wanaokuhubiria hawajawahi kukufundisha haya? kuhusu walokole, siku zote tumeitwa machizi, ila wale wanaotuita machizi ndio wao huwa machizi, at the end of the day, huwa mnakuja wenyewe kutuomba ushauri na maombezi baada ya kutandikwa na maisha mnayoishi kwa kiburi na kutukana njia ya Mungu. Mungu akusaidie.Wewe sasa ndio umeconfirm hapa kwamba Walokole wengi ni machizi.
Yani Mungu alishwe na binadamu kweli na wewe wasadiki hili?
Yani pesa Mchungaji anenda kununuwa Prado wewe unasema ni malimbuko unamlisha Mungu kwanza upo timamu kichwani?
Kiranga hebu angalia hizi Ng'ombe eti Mungu analishwa na wao!
ghalani mwake, yaani hekaluni. Leteni zaka kamili ili kiwemo chakula ghalani mwangu. ulishawahi kusoma huu mstari, au nikuanzie mbali kwasababu Biblia kwako huwa unaishika siku ya krismass tu?Mungu wako amesema upeleke wapi.....mbona mnajipa majukumu Mungu hawajawapa!!! Mungu wako alisema tupeleke wapi!!?
😂😂😂😂Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
usijipangie pa kupeleka, usimpangie Mungu, utii ni bora kuliko sadaka yako, Neno la Mungu linasema tupeleke zaka ghalani mwake, yaani kwenye nyumba ya Mungu na tangu enzi ilikusudiwa kwa ajili ya walawi, yaani makuhani (wachungaji, mapadre n.k kwa sasa) kwasababu wao hawalimi, wahana vitega uchumi na wanatumia muda mwingi ambao wangetumia kwenye mambo yao binafsi wao wanautumia kwa ajili ya kazi ya Mungu hivo Mungu aliiunda hilo ili uwe ndio ujira wake, unapofanya unakuwa hauwatumikii wao bali unamtii Mungu na wewe thawabu yako haitatoka kwa hao wanadamu bali kwa Mungu aliyeelekeza.Bonge la gazeti.... Kwani fungu la kumi lazima upeleke kanisani!!?? Ukilitemga fungu lako la kumi ukalipeleka Kwa wenye uhitaji na sio kanisani Kuna shida!!?
Bonge la gazeti.... Kwani fungu la kumi lazima upeleke kanisani!!?? Ukilitemga fungu lako la kumi ukalipeleka Kwa wenye uhitaji na sio kanisani Kuna shida!!?
ulokole sio kina mwamposa, kwa kifupi ni kwamba, Mwamposa, Gerdevie, suguye na wenzie wote wanaofanana na hao, sio walokole. hao kwanza kwa sasa hata chama wanacho cha kwao, kama ilivyo TEC ile iliyotoa waraka, kuna CCT (christian council of Tanzania) ambao ni umoja wa makanisa ya kiprotestanti ukiondoa walokole, na CPCT (walokole) yaani umoja wa makanisa ya kipentecoste Tanzania - hawa ndio walokole. hao kina mwamposa wanacho chama chao, wanauita umoja wa mitume na manabii, hata sio walokole, na kwa hao wapentecost ukiona muumini wao anahudhuria kwa hao mwamposa na wengine, huwa wanafukuza kabisa.Sio nauponda ulokole, Ila hawa wanawake wetu wakishaingiwa na hii imani ya akina Mwamposa ndoa inakuwa shakani......huu ndio ukweli mwanaume unakuwa huna cha kuongea utakisikia niko nasikiliza maombi...dah
Hahaaaaa ,tunawaambia kataa ndoa humu kila siku ,hamwelewi ,mtaelewa kwa vitendo sasaSimsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Mapenzi NI kuleleana.wewe ulivyomlea na yeye alivyokulea.Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Umezaaliwa mwaka gani?Hahaaaaa ,tunawaambia kataa ndoa humu kila siku ,hamwelewi ,mtaelewa kwa vitendo sasa
Ewaaaaa.... umenena vyemaHuyo mkeo sio Mlokole ila anamapokeo ya Ulokole ambayo ni ya nje ya mwili...
Ambayo wengi huwa ni wabinafsi...
Wanapenda kutenga wengine...
Wanajifanya wao ni watakatifu sana...
Mlokole wa kweli hawezi kuwa hivyo maana anakuwa na hofu ya Mungu...
Anakuwa na Upendo...
Mpige PiniSimsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
GoooodNaanzaje kwa mfano? Hapa natafuta replacement
Pole Mkuu, usiumize kichwa juu yakeNawafahamu ukiacha huyu mwenzangu, kuna jamaa yake nae alikuwa mke wake anaingia huko akampiga marufuku kamuweza. Huyu wa kwangu imagine alikuwa na ujauzito wa miezi kati ya saba au nane, katoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri kaelekea kwa Mwamposa kuwahi nafasi za mbele na nimemkataza apumzike kakataa. Katoka nyumbani Kitunda hadi Tanganyika Packers kwa Mwamposa na usumbufu wa usafiri na tumbo kubwa [emoji24][emoji24] na shida inakuja mama yake ni muumini nambari moja wa hizo mambo na humwmabii kitu kuhusu Mwamposa. Yani humwambii chochote akuelewe aisee kama karogwa.