Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Kadri mda unavyokwenda watu wanazidi kupata akili, dini zitatoweka kabsa itabaki utashi na kujitambua tu.
 
Axee fanya hiv kama una uwezo kiasi fulan toka hapo muachie vitu hivyo we kajitafute pembeni kama mtu anakuombea uvute ni balaa
 
Wewe sasa ndio umeconfirm hapa kwamba Walokole wengi ni machizi.

Yani Mungu alishwe na binadamu kweli na wewe wasadiki hili?

Yani pesa Mchungaji anenda kununuwa Prado wewe unasema ni malimbuko unamlisha Mungu kwanza upo timamu kichwani?

Kiranga hebu angalia hizi Ng'ombe eti Mungu analishwa na wao!
Mungu hula kwa kupitia wanadamu. pesa unayotoa Mungu huwa anaitumia kwa kutumia watu kwenye kazi zake. watumishi wa Mungu wana familia, wanasomesha watoto, wanahitaji kula, wanasafiri, wanaendesha magari hivyo wanahitaji mafuta na kila kitu. Mungu aliamuru walawi (makuhandi) wasifanye kazi zingine ila za ukuhani tu na wengine watoe fungu la kumi ili uwe kama ni ujira wao. haijaanza leo, tangu enzi za ibrahim alipokutana na Melchizedek fungu la kumbi lilitolewa, ni agizo la Mungu. wewe sio mkristo na kama mkristo huwa husomi Biblia ndio maana unaona hili ni jambo la ajabu. pia, hata kama wewe ni mkristo, huko uliko huwa hufundishwi inavyostahili, kwamba hadi leo haujui kuwa fungu la kumi lilitolewa tangu enzi za ibrahim, unaenda church kufanya nini sasa kama wanaokuhubiria hawajawahi kukufundisha haya? kuhusu walokole, siku zote tumeitwa machizi, ila wale wanaotuita machizi ndio wao huwa machizi, at the end of the day, huwa mnakuja wenyewe kutuomba ushauri na maombezi baada ya kutandikwa na maisha mnayoishi kwa kiburi na kutukana njia ya Mungu. Mungu akusaidie.
 
Mungu wako amesema upeleke wapi.....mbona mnajipa majukumu Mungu hawajawapa!!! Mungu wako alisema tupeleke wapi!!?
ghalani mwake, yaani hekaluni. Leteni zaka kamili ili kiwemo chakula ghalani mwangu. ulishawahi kusoma huu mstari, au nikuanzie mbali kwasababu Biblia kwako huwa unaishika siku ya krismass tu?
 
Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.

Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.

Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.

Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.

Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.

Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.

Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.

Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.

Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.

Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
😂😂😂😂
 
Hii ni kamba.Unatamani kuoa ila ndo hivyo bwana mdogo acha upumbavu
 
Bonge la gazeti.... Kwani fungu la kumi lazima upeleke kanisani!!?? Ukilitemga fungu lako la kumi ukalipeleka Kwa wenye uhitaji na sio kanisani Kuna shida!!?
usijipangie pa kupeleka, usimpangie Mungu, utii ni bora kuliko sadaka yako, Neno la Mungu linasema tupeleke zaka ghalani mwake, yaani kwenye nyumba ya Mungu na tangu enzi ilikusudiwa kwa ajili ya walawi, yaani makuhani (wachungaji, mapadre n.k kwa sasa) kwasababu wao hawalimi, wahana vitega uchumi na wanatumia muda mwingi ambao wangetumia kwenye mambo yao binafsi wao wanautumia kwa ajili ya kazi ya Mungu hivo Mungu aliiunda hilo ili uwe ndio ujira wake, unapofanya unakuwa hauwatumikii wao bali unamtii Mungu na wewe thawabu yako haitatoka kwa hao wanadamu bali kwa Mungu aliyeelekeza.

kwenye Biblia yapo maneno mengi tofauti na kwa madhumuni tofauti, ipo mistari inayoelekeza tusaidie masikini na wahitaji, pia ipo inayotaka tutue kwa ajili ya kazi ya Mungu, na ipo inayosema tutoe fungu la kumi n.k, kima maelekezo yana nafasi yake na lengo lake, hautakiwi kuchanganya. wanadamu wengi huwa wanamini Mungu alikosea kuelekeza kwa namna fulani, wanajaribu kurekebisha kwa kuweka vile wao wanataka. siku zote watu wa aina yako huwa ni wale ambao hata pesa au mali hawajazipata kwa njia ya Kimungu, wamezipata kwa dhurma, wizi na uchafu mwingine, na Mungu wala hahitaji sadaka zenu chafu za aina hiyo, maelekezo haya yanaenda kwa wale wanaozipata kwa haki na uhalali na hao ndio watakaopata thawabu. kiburi cha mwanadamu imefika mahali anataka kuyaelekeza Maneno ya Mungu yaendane vile yeye anavyoona inafaa, icho ni kiburi ambacho nakuhakikishia kuna siku Mungu atakishusha. Mungu huwapiga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema.
 
Sio nauponda ulokole, Ila hawa wanawake wetu wakishaingiwa na hii imani ya akina Mwamposa ndoa inakuwa shakani......huu ndio ukweli mwanaume unakuwa huna cha kuongea utakisikia niko nasikiliza maombi...dah
 
ulokole sio kina mwamposa, kwa kifupi ni kwamba, Mwamposa, Gerdevie, suguye na wenzie wote wanaofanana na hao, sio walokole. hao kwanza kwa sasa hata chama wanacho cha kwao, kama ilivyo TEC ile iliyotoa waraka, kuna CCT (christian council of Tanzania) ambao ni umoja wa makanisa ya kiprotestanti ukiondoa walokole, na CPCT (walokole) yaani umoja wa makanisa ya kipentecoste Tanzania - hawa ndio walokole. hao kina mwamposa wanacho chama chao, wanauita umoja wa mitume na manabii, hata sio walokole, na kwa hao wapentecost ukiona muumini wao anahudhuria kwa hao mwamposa na wengine, huwa wanafukuza kabisa.

kwahiyo unakosea, hata mimi mke wangu akienda kwa mwamposa au kwa gerdevie, atakuwa ameleta mgogoro mkubwa sana kwenye familia. hao ni wapigaji na wezi kama wezi wengine tu. ukisikia kitu kinaitwa walokole ni kama Tanzania Assemblies of God (TAG), EAGT, Pentecost holliness, Elim Pentecost n.k. na wengine wenye imani inayofanana na hiyo ila ondoa kabisa na kutupa mbali kina mwamposa na matapeli wengine.
 
Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.

Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.

Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.

Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.

Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.

Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.

Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.

Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.

Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.

Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Hahaaaaa ,tunawaambia kataa ndoa humu kila siku ,hamwelewi ,mtaelewa kwa vitendo sasa
 
Mapenzi NI kuleleana.wewe ulivyomlea na yeye alivyokulea.
Sasa mchekea mwana Julia hulia yeye,na samaki mkunje angali mbichi.Ulishindwa kumkatalia mkeo mapema na ulikuwa unamchekea chekea.
SASA LEO POKEA MALIPO YA MALEZI YAKO KWA MKEO MAANA ULIMLEA MWENYEWE NA TABIA ZAKE ZA KIJINGA
 
Huyo mkeo sio Mlokole ila anamapokeo ya Ulokole ambayo ni ya nje ya mwili...

Ambayo wengi huwa ni wabinafsi...

Wanapenda kutenga wengine...

Wanajifanya wao ni watakatifu sana...

Mlokole wa kweli hawezi kuwa hivyo maana anakuwa na hofu ya Mungu...

Anakuwa na Upendo...
 
Ewaaaaa.... umenena vyema
 
Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.

Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.

Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.

Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.

Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.

Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.

Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.

Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.

Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.

Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Mpige Pini
Kama wewe ndio Sponsor wa Mradi wa Kuku, mtoe kabisa kwenye equation ya Biashara, akatafute huko anakojua ndio apeleke Kanisani.
Mimi nimefanikiwa kummshikisha adabu Mwanamke Mlokole, hatokaa ashike Pesa yangu Milele, Vitu vyote nanunua ndani, yeye atajijua Mwenyewe (Anafanya kazi)
Hawezi kuchukua chochote cha ndani Maana Mtiti wake na Kichapo ataenda kuhadithia Kanisani kwao
Muhimu zaidi, tafuta Mwanamke Mwingine wa kukusahaulisha Kero za Mlokole
 
Nawafahamu ukiacha huyu mwenzangu, kuna jamaa yake nae alikuwa mke wake anaingia huko akampiga marufuku kamuweza. Huyu wa kwangu imagine alikuwa na ujauzito wa miezi kati ya saba au nane, katoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri kaelekea kwa Mwamposa kuwahi nafasi za mbele na nimemkataza apumzike kakataa. Katoka nyumbani Kitunda hadi Tanganyika Packers kwa Mwamposa na usumbufu wa usafiri na tumbo kubwa [emoji24][emoji24] na shida inakuja mama yake ni muumini nambari moja wa hizo mambo na humwmabii kitu kuhusu Mwamposa. Yani humwambii chochote akuelewe aisee kama karogwa.
Pole Mkuu, usiumize kichwa juu yake
 
Back
Top Bottom